Last edited by a moderator:
Ni kama ameishiwa na idea za video, ukiiona hy video unahisi kama ulishaiona kwenye nyimbo yake nyingine
King kiba namkubali tatizo ukimya wako ndo unachosha
hahahahahaaa sio kwa kuchanganyikiwa huko, eti unahisi umeshaiona tena, yani full mawingu unaona maruwe ruwe, huamini kama ni yeye tena katoa kitu kipya kikali hivyo sio, unatamani kiwe ni ile ile uliokwishaona eeh???. hihihii hii ni nyingine mekuu dangote katika UBOURAAAAA wake.
kama hana kitu sasa afenyeje??? zaidi ya kuwa mdogo kam nukta?? mashauzi ndio yamemponza kiba, angerudi tu kimpango wake, muda huu story ingekuwa nyingine, zile mbwembwe za nimekuja kufuta vumbi kana kwamba hakuna anliyefanya chochote kwenye tasnia ya mziki ndio zinamuhukumu, na huo ndio mwanzo wangu mimi wa kumdiss kiba. DHARAUUUUUUUU!!! ZIMEKUTOKEA PUANI. na washabiki zake ujue, sio kutwa kumshutumu dai kuwa anadharau wanasahau kiba ndio mwanzilishi wa dharau, na mashauzi.
Duh! Yaani idea ikiwa ni ya video za nyuma ndo tayari keshaishiwa?! And what about wanaofanya re-mix za nyimbo zao za zamani au nyimbo za wengine?! Hao unawaitaje??!!! By the way, ikiwa idea aliipenda lakini anafahamu by the time ilitoka kwa mara ya kwanza, alikuwa too local na kwa sasa kv anapata attention mbali zaidi ya East Africa, ameamua ku-revive the very same idea.. tatizo lipo wapi hapo? Haya mambo mbona hata kwenye Films yapo, kwa mfano, Homeland, American TV Series ni Prison of War ya Israel... unataka kusema Howard Gordon and Alex Gansa wameishiwa??!!Ni kama ameishiwa na idea za video, ukiiona hy video unahisi kama ulishaiona kwenye nyimbo yake nyingine
NItajie wimbo mmoja ambao umetolewa miezi sita iliyopita na hadi leo una-hit!!!! Hizi sio zama za Marashi ya Pembe ambazo, wimbo usipousikia RTD hakuna pengine utausikia matokeo yake nyimbo zilikuwa zinakosa airtime na kusababisha kila zinapopigwa zionekane kama ya jana coz' wimbo unaweza ukausikia leo RTD na usiusikie tena hadi wiki 2 baadae! Lakini zama hizi, wimbo mmoja unaweza kuusikia kwa siku hata mara 100 so don' expect wimbo kama huo utadumu kuwa hit kwa muda mrefu... lazima utachosha tu!!This is what we call bubble gum music hii ngoma hit life yake haizidi miezi 6,hongera zake though kwa kazi yake mpya,
Binafsi nitaendelea kubaki kuwa muumini mzuri was mipini ileee ya miaka ya Giza ambayo iliutambulisha muziki wetu wakitanzania na afrika kwa ujumla.
Ngoma kama marashi ya pemba,mtaa wa saba na hats zile taarab za zama zile za nahodha jkt no nyimbo ambazo wanangu na hats wajukuu na vitukuu pia watasikiliza na kuzielewa sana
tuzo za watu...
Chibu ,dangote,platnum,Daimond,Baba princess ni habari nyingineee poleni mtaa wa pilii
NItajie wimbo mmoja ambao umetolewa miezi sita iliyopita na hadi leo una-hit!!!! Hizi sio zama za Marashi ya Pembe ambazo, wimbo usipousikia RTD hakuna pengine utausikia matokeo yake nyimbo zilikuwa zinakosa airtime na kusababisha kila zinapopigwa zionekane kama ya jana coz' wimbo unaweza ukausikia leo RTD na usiusikie tena hadi wiki 2 baadae! Lakini zama hizi, wimbo mmoja unaweza kuusikia kwa siku hata mara 100 so don' expect wimbo kama huo utadumu kuwa hit kwa muda mrefu... lazima utachosha tu!!
Uko enzi za zama za mawe za mwanzo,Muziki siku hizi ni biashara.Unauza kinachouzika sokoni(bidhaa).Endelea kuota kwa kutaka misifa ufe njaa-NEY WA MITEGO ashajua hii business and he will make money niggaThis is what we call bubble gum music hii ngoma hit life yake haizidi miezi 6,hongera zake though kwa kazi yake mpya,
Binafsi nitaendelea kubaki kuwa muumini mzuri was mipini ileee ya miaka ya Giza ambayo iliutambulisha muziki wetu wakitanzania na afrika kwa ujumla.
Ngoma kama marashi ya pemba,mtaa wa saba na hats zile taarab za zama zile za nahodha jkt no nyimbo ambazo wanangu na hats wajukuu na vitukuu pia watasikiliza na kuzielewa sana
Ali kiba anadaiwa HELA YA PANGO LA NYUMBA...he he heee wanasubiri cheka nisukutue mondi hakamatiki wanaumia kimya kimya!
Chibu ,dangote,platnum,Daimond,Baba princess ni habari nyingineee poleni mtaa wa pilii
Team kiba wanaiponda., cjui wana ukichaa.
Cjaiona ila kwa credits hzi lazima ni best.
Afu hawa team kiba wama id nyingine , wanamkubali di ki aina kwa id nyingine.
This is what we call bubble gum music hii ngoma hit life yake haizidi miezi 6,hongera zake though kwa kazi yake mpya,
Binafsi nitaendelea kubaki kuwa muumini mzuri was mipini ileee ya miaka ya Giza ambayo iliutambulisha muziki wetu wakitanzania na afrika kwa ujumla.
Ngoma kama marashi ya pemba,mtaa wa saba na hats zile taarab za zama zile za nahodha jkt no nyimbo ambazo wanangu na hats wajukuu na vitukuu pia watasikiliza na kuzielewa sana
Kiba anatuumiza sana,mfano mwangalia diamond katoa hii video halafu video nyingine ipo njiani ye na inyanya hapo hapo collabo na psquare.
Kiba akitoa audio video mtasubiri mwaka wakati mwenzake karibia kila mwezi anatoa kitu kipya