Kweli umetoma pabaya na zinaa ilikamilisha upatikanaji wako, mbaya zaidi ukaukubali uchafu wa wazazi wako....!
Mbakaji mkubwa wee unaposema lazima watakuwa wamebakwa una maana gani nyie ndo mnalala na wenenu angalia mimacho yake."nyimbo mbaya halelewi mwana"Shika adabu yako.........Wapi nimewaombea shari?
Ni heri kama wako salama tu,
Yaani hawa boko ni wapuuzi sana. Inashangaza kuona wana hadi mafundi wa makanzu huko huko maporini. Jwtz wasaidie hawa watoto.
una uhakika gani kuwa wewe hujatokana na zinaa?ulishawahi kuwauliza wazazi wako walianza kujamiana lini kabla ya kuamua kufunga ndoa?mbona kauli zako zinaonyesha kuwa wewe ni mwana wa haramu?before pointing fingers to others make sure your hands are clean.
This is covert operation,wewe endelea kubaki nyuma na link zakotatizo unasema kwa ushabiki.hao waisrael wameingia leo.suala la kubadilisha na wafungwa wa boko lipo tangu juzi,unabisha sema nikupe link.
ukweli utajulikana. Kihoro kimeanza kuwaingia baada Marekani na Ufaransa kuingilia kati nini?
ni ni kulazimishwa tuu, hivi kuna madhehebu mangapi ya uislam? hivi Tanzania wapo pia waislam wa namna hiyo ya boko haram? mbona wanawake wa kiislam wanasoma tuu vizuri tz
Israel itawaleta muda mfupi tuuu tutulie
sasa convert gani watu ndo wametua leo hapo na usikute ni ma adviser tu kama wamarekani.mkuu hii issue naifuatilia 24/7,haipiti dakika tano sijachungulia kucheki update na sitegemei hapa.This is covert operation,wewe endelea kubaki nyuma na link zako