pendoharri
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 508
- 306
SanaPole alikutenda eee
SanaPole alikutenda eee
Msamehe na usahauSana
ahahaaSome people are alive because it's illegal to shoot them![]()
![]()
Duh! Walikukosea nini mkuu? Ila dua ka kuku.......tena wagongwe na treni yeye na kibaasha chake wasiwepo kabisa katika uso huu wa dunia unaijua akaunti yangu nadhani umenipata na siku nikimiliki mguu wa kuku nawadungua hizo ngoko zenu mkiingia katika anga zangu
mfyuuuuuuuu !![]()
![]()
Tumeagizwa kubariki, kisasi sio kazi yetualaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.


Nikweli Zinabadilishwa Ila Inategemea Na Baadhi Ya Family.Mbona dini zinabadilishika mkuu ,au hukumpenda.?
Vizuri mkuuKumbe nilikuwa nauziwa, licha ya kujitahidi kutafuta ili tuishi kumbe haikuwa hivyo. Nimemsamehe acha waoane na waishi kwa amani.
Nakumbuka alivokua akini treat vizuri.... So still remembering yeyeee
AmeenBwana Mungu amsamehe maana hajui alitendalo...
kirefu chake mkuu.?L.M.I.P