Left Me In Pieces [emoji24][emoji24][emoji24]kirefu chake mkuu.?
Left Me In Pieces [emoji24][emoji24][emoji24]kirefu chake mkuu.?
pole...nakuja pm kwa maelezo ya ziadaLeft Me In Pieces [emoji24][emoji24][emoji24]
vip alikukosa kosa na panga mkuu?My ex tukiwa chumba kimoja pamoja na Bush na Hitler na nikawa na bunduki yenye risasi 3...
Ntakushoot na zote 3
alikufanyaje mkuu?siku ya kiyama atumike kama kuni.
vizuri mkuuDear X,am not deleting your number so that you can see how good is my life without you.
alininyima heraa..alikufanyaje mkuu?
vizuri mkuuDear X,am not deleting your number so that you can see how good is my life without you.
safi mkuu ongeza juhudiKuna mbuzi kama wawili hivi walinitosa kisa sina ila MUNGU anaanza kuleta neema, nawatakia maisha marefu ila tu wasijeshoboka, maana watakunywa sumu siku hiyohiyo
we ni me au ke?alininyima heraa..
mkuu wengne uliwazingua wewe ?Mmoja ndo alizingua Ila aishi maisha marefu ili aendelee kuniona nikiwa na furaha na mke wangu
ameelewaMahusiano nikama safari , na safari yangu na wewe imeishi hapo, hivyo uishi kwa amani na sitaki mawasiliano na wewe