moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #141
nadhan amesikia kama alidhani utakufaI'm doing the best without you [emoji4]
nadhan amesikia kama alidhani utakufaI'm doing the best without you [emoji4]
sawa ila usije ukamuomba kibindankoiNilimpenda sana ila kwa sasa simpendi tena.
vizuri nyngne mkuu naona unajutiaAlinifumania akaniambia "asante vizuri sana "
Kweli umeamua mkuuuumetaja na jina nadhani amekupata mkuu
Maombi ya meshaanza kujibu,ameanza taratibu kuona dunia ilivyo na bado na mfungia siku saba tena ili azidi kujionea kuwa chozi l mtu haliendi bure, maana biblia inasema akupigie kwa upanga mlipe kwa upangaongeza maombi mkuu
kama kawaAtanikumbuka sana
mfate mkuuStill nampenda sana
mpe maonyo mengi mkuuNilikupenda sana, hukujali.... Sasa nenda ila chunga sana usipotee....
tena akae mbali na weweAsinionee wivu
asa hvi biblia hairuhusu malipizi mkuuMaombi ya meshaanza kujibu,ameanza taratibu kuona dunia ilivyo na bado na mfungia siku saba tena ili azidi kujionea kuwa chozi l mtu haliendi bure, maana biblia inasema akupigie kwa upanga mlipe kwa upanga
[emoji4] [emoji85]nadhan amesikia kama alidhani utakufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitamuuliza hivi jina lake la kweli nani, maana tulikutana jf na kipindi chote cha mahusiano tulitumia user names kuitana.
Biblia ina mambo mengi,tuyaach hayoasa hvi biblia hairuhusu malipizi mkuu
Haswaa...yaani nashukuru kuachana kwangu na x kumeniletea neema kwa kweli,yaani natamani tungejuana mapema na huyu wa sasaduuhh mpenz yamenoga
Nipo huku mdau.Upo huku siku hizi
Pole alikutenda eeeAtalia Mara 100 zaid yangu.kwani ukitend mema unalipwa mema.Na ukitenda mabaya utalipwa mabaya tna yatakuw yamemwagiliwa vizuri ili maumiv yawe machungu zaidi