Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 296
Koloni siku yoyote hutawalika tu
Kumchimba shem ni ruksa!Hapo nimekupa warning usiendelee kunichimba![]()

Utachimba ambavyo havichimbiki shauri zakoKumchimba shem ni ruksa!![]()
itakua poaNitamuuliza hivi jina lake la kweli nani, maana tulikutana jf na kipindi chote cha mahusiano tulitumia user names kuitana.
umenenaKoloni siku yoyote hutawalika tu
vizurinimekumiss sana my ex nataman turudi ya zamani.
Hahaaaaa uwiiiiiFCK YOU!
We mwanamke unanivunjaga mbavu basi tu tena nkipewa chance nawaweka kwenye roli naenda kuwamwaga baharini, kama Idd amin vile 😀😀😀

nadhani zimewafikiaHuwa sikumbuki hata mmoja Ila Nina neno Kwa wale woote walionikataa enzi zile Jamani Nawapenda mno siwezi tengua kauli ,,
Duh hao ni wengi inaonekanaSina mengi ya kuwaambia, ila nawatakia maisha yenye furaha tele...
Na utamu wao eeeKafieni mbele....
Mpe tuAache kunisumbua.
Atalia Mara 100 zaid yangu.kwani ukitend mema unalipwa mema.Na ukitenda mabaya utalipwa mabaya tna yatakuw yamemwagiliwa vizuri ili maumiv yawe machungu zaidiukianguka inuka nyanyuka vumilia songa mbele