thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Ni noma iseejikaze mkuu
Ni noma iseejikaze mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ujeee uchukue machupi yako nimejitahidi kuyaficha nimechoka.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Braza nimekuvulia kofia kwa uwongo.
atakua analia mkuuNajua unanimisi na unaumia sana Ex wangu lakini yote hayo nilikuambia ukaendekeza kiburi na majivuno yako, sina cha zaidi cha kukusaidia zaidi ya kukupa POLE.
ataelewa tuUlishidwa uvumilivu nilipoenda chuo iringa miaka 4 wewe ukaenda dar kwa mwanaume sasa nimempata mwenye uvumilivu ndio mke wangu ijapokuwa kila mara unanikumbuka na tunawasiliana huku ukisema mimi ndio mume wa maisha yako nasikitika haitawezekana tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka jamani sio kwa dua hii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh! mkuu naona umekasirika sanaTo hell
Hana jeuri hiyovip alikukosa kosa na panga mkuu?
vizuri mkuuNashukuru kwa kujivua gamba kwani nilikosea sana, nafasi yangu nyingine nimpate mwenye upendo wa dhati safari hii sitakosea tena
sema chochote tuSina pa kuanzia manake hata sijui wako wangapi? Kumbu kumbu zangu 2014 walikua 189 sasa sijui wako wangapi
With thanks mkuu. WelcomeI'm in love with your writings.
Nadhani amekupata mkuuHuyo kibamia akishindwa toroka uje beib niko kwajil yako