Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
Poleni sana. Ila mkumbuke siyo kila uhusiano utaishia kweny ndoa, zingine ni tution tu.
Ila inavyoonekana wahanga ni wengi sana.
Ila km ww kuna mtu ulimuacha, aliyekupenda na kukujali basi you pay the price wala usilie. Muosha huoshwa
Mm kabla ya kuoa kuna mwanamke nilikuwa naye, huyu mwanamke nilikuwa natamani awe mama watoto lkn alikuwa hanijari. Hawezi kukupigia simu wala kukutumia sms mpaka ww umpigie, hata km ipite wiki hawezi. Salio anaweka mpaka 2000 lkn hawezi hata kukutumia sms mpaka ww umpigie. Hela umpe, kitandani gogo, ukiugua hawezi hata kukupa pole. Siku akijisikia anakutumia tafadhali nipigie. Ilikuwa kero kero mpaka nikachoka. Siku zote hata km unampenda mtu 100% ukikutana na mtu asiyekujali utamuacha tu.
Mm nilisepa kimya kimya sikumtafuta mpaka wala leo. Kuna watu wanajisahau sana wakiingia kweny mahusiano wao wanaona hawataachwa ila mapenzi yana siri nzito sana. Wale walioachwa kwa bahati mbaya pole sana, mjifunze kuacha na siyo kuachwa. Ukiona haeleweki visa vingi, unamuambia hajirekebishi hapo hauna chako sepa kimya kimya itakuondolea maumivu. Mtu asiyejali hisia zako huyo ni mnyama hata km unampenda ww sepa