pole mkuu, ila kama vipi muungie yule aliyekupga mznga wa buku 50Rest in peace my love
ahh poa,kwahyo kukumbushia hyo hakunaga au.?Hapana, kijana.
Hakuna jipya kwa ma x. Na ameshaolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi comedy ss mkali wangupole mkuu, ila kama vipi muungie yule aliyekupga mznga wa buku 50
Kuna dada nilikutana nae kwenye gari, na nilikua Nakaa nae jirani. Kujisachi alisahau wallet mdogo yenye hela. Mara akaanza kucheka, konda aliendelea kukusanya kwa wengine, bibie nikamuelewa sababu majirani mtaa mmoja, nikampa kama elfu kumi.
Then, akanipa namba ya simu jioni, nikaifuate hela yake, nikaenda, kukuta anatoka kuoga na khanga, nikajikuta nimemgonga, kumbe alitoka kuachana na mmewe, sasa nikawa kama nimehamia kwake. Saa nyingine naamka saa kumi na moja, naenda kumgonga kisha tunaenda job. Akahamia eneo lingine nikaendelea, akahamia Kinondon kama kawa.
Akaja akapata Mimba ikatoka, huyu dada najua ananipenda, alikua anaenjoy sana sex, mpaka wenzie walinitafuta.
Nikaja kusikia ameolewa na tajiri mmoja Mbez Beach, majuz kaja home naambiwa gari ya kifahari nimegoma kutoka. Alichukia,
Lakn sirudi nyuma...naona ana majanga ndan ya ndoa anataka aniambie
Hahahahahaha ,bila pesa madem kwako watakua ndoto mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi comedy ss mkali wangu
Bora iwe ndoto kuliko kupoteza pesa yote hiyo et kisa mapenziHahahahahaha ,bila pesa madem kwako watakua ndoto mkuu
mapenzi gharama saivi huna pesa kaa kando ona wenzio 2navochukua watt wakaliBora iwe ndoto kuliko kupoteza pesa yote hiyo et kisa mapenzi
Chukuen tu mi bas tenamapenzi gharama saivi huna pesa kaa kando ona wenzio 2navochukua watt wakali
poa mkuu ila nipe namb ya yule wa mzinga wa bk50Chukuen tu mi bas tena
subiri alijie tena na kulibeba
Wew unaonaje?usiishi kwa kukariri,eti acha roho mbaya we mmachame,jiangalie sio unaongea ongea tu,Matako yako au yangu?
Atakufata huko aje apashe kipolosasa nmehamia mtaa wa7[emoji41]
limbwata ni kucheza na saikolojia tuLabda aje libwata [emoji2]
amekupata mkuuMola akujaalie mwisho mwema