Neno lolote kwa ex wako

Neno lolote kwa ex wako

Yaani huu uzi unaonyesha ni jinsi gani watu wanaombeana mabaya. Jamani kwani ukiachana na mtu inakuwa ugomvi[emoji56][emoji56]
inategemea umeachana nae kwa mazingira gani..
 
alaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.
Mama mbona moyo wako unaonekana kuwa na uchungu mkubwa saana!!?

Inaonekana kuna mwanaume ulimpendaa na kakuumiza saana! MAANA comments zako huwa zinaonyesha una chukia kila mwanaume!!!

Ushauri wangu:

1:KAMA UNATAKA KUISHI MAISHA YA USHINDI SAMEHE NA UKUBALIANE NA HALI HALISI KWAMBA MAPENZI HAYALAZIMISHWI.

2:AMINI KWAMBA WAWEZA PATA MWANAUME SAHIHI MTAKAEPENDANA NAE KWA DHATI.

3:BADILI MTAZAMO:SIO KILA MWANAUME MBAYA, BADO KUNA WEMA KATIKATI YAKO!!

4:UCHUNGU/MAUMIVU ULIYONAYO UKIENDELEA NAYO YATAKULETEA ATHARI KIAFYA:CHAGUA KUSAMEHE!!

5:UKIPATA NEW LOVER USIMFANANISHE NA X WAKO, ISHI NAE KWA KUAMINI YUPO TOFAUTI NA X.

CC:WOTE WALIOUMIZWA NA WAPENZI WAO
 
Back
Top Bottom