Neno lolote kwa ex wako

Neno lolote kwa ex wako

Doing very fine without you. Counting blessings over blessings with my pillars for 16 years. Grown beautiful twins. They are blessings to out clan but an outcast to you and your clan. Cherishing them, my darlings.
I'm in love with your writings.
 
Ex wangu mmoja wa shule ananiandama. Dinna mungu anakuona. Wiki . Nzima iloisha anajichatisha na mimi



Mungu anakuona.


Ma ex nyote mloniacha kisa sina kitu. Mungu anawaona
 
Heheheeee hii kali siku moja usikie mkeo ana AIDS naona huu ndio utakua mwisho wa maisha hapo hapo povu itatoka
yani hatari juu ya hatari .Usipende kumlinda na kumfatilia sana mkeo
 
ooops nimechelewa sana kusema aseee, inakuwaje hapa.

Dear X, sikujua kama nitaweza kukusahau, nilifikiri sitaweza kuishi bila wewe lakini duuuu, nimempata daktari wa maisha yangu.

Nakutakia kila la kheri uliko.
 
ooops nimechelewa sana kusema aseee, inakuwaje hapa.

Dear X, sikujua kama nitaweza kukusahau, nilifikiri sitaweza kuishi bila wewe lakini duuuu, nimempata daktari wa maisha yangu.

Nakutakia kila la kheri uliko.
pole sana mkuu nadhani wa mwanzo alikua anakuletea magonjwa tu,
naamini amekupata mkuu
 
Ivi mpaka mtu awe X ni mpaka akwambie tuachane au?
Sijawahi kuacha au kuachwa ila tunapotezana kwny mawasiliano na tukikutana tunachekelea...

Sitaki ujinga wa kuachana mimi kabisaa! Mungu kawaumba wawe wasaidizi kwanini niwatengee
 
hahahah,vip aliyeachaga kulina asali akikumbuka asali ya nyuki wakubwa hawezi pata ata kijiko1?
hakuna aisee, wakati wake wa kupata asali uliisha, sasa ana enjoy mwingine na siwezi mdhulumu.
 
Back
Top Bottom