mkuu naomba nipe kitabu na aya ya maneno hayo ktk biblia.Maombi ya meshaanza kujibu,ameanza taratibu kuona dunia ilivyo na bado na mfungia siku saba tena ili azidi kujionea kuwa chozi l mtu haliendi bure, maana biblia inasema akupigie kwa upanga mlipe kwa upanga
Ooh! How touching,One of word i hate to hear is FOREVER,
i don't believe on it's existence.
She used to say it as many time
I will love u forever n' i am crying alone.
Too bad i can't love no more trusting non either its not in my control just happene' bein' so
Love do hurt do not hurt one for sure
I don't wish u bad good neither
They say time heal but this don't happen to me.
I loved u
Hahahaha umetishaaa, umenikumbusha mbali sana.Zafanana!!
Daah kaz kwel kwelOoh! How touching,
Some people like to say, I WILL LOVE YOU FOREVER, damn! Who knows where Forever will take us.
I hate that word too, FOREVER.
Wapi umekumbuka??Hahahaha umetishaaa, umenikumbusha mbali sana.
bdo nko naeYako
na kweli waache usiwaingiliewaache waoane
Rafiki yangu alinipa story fupi ya muarabu mmoja alikua na mabasi yake yanaenda Tanga yaliitwa Zafanana.Wapi umekumbuka??
Km msomaj wa biblia utaelewa,sitaki kuyazungumzia mambo ya dini maan mimi sio mchungaji,wala nabii ila uwo mstari upo..enjoy ur wkndmkuu naomba nipe kitabu na aya ya maneno hayo ktk biblia.
Hahaha kwa raha zako na bae wakoAokote wapi?
Kama alivyofanya mikutano kunichafua kumbe anakimbia madeni afanye mara 70 yake!
Na bado atatukuta na bae wangu tumetulia kinyaaaaaaaaa!
Eti mtu miaka mitano saiz akaanze nyokonyoko! Mfyuuuuuuuu kwendraaaaaaaaa mbaff
Shida za jirani mwenzangu!Hahaha kwa raha zako na bae wako
VizuriAlioa siku ya birthday yangu,niliumia kiasi fulani hivi...anyway kila la kheri "Supa". Mimi naendelea vema sasa, ahsante kwa kunichangamsha akili na moyo.
siku ya kiyama atumike kama kuni.
Hata mie iko hivi ila aishi kwa amani tu.Daa napata wakat mgum sana aoneshi kujali najaribu nam kukaa kimya ila inafika wakati nashindwa nafuta no zake ila inafika wakati natafuta tena no ila nimeweka nadhiri nisimtafute tena naomba mungu anisimamie kwa hilo
alitembea na wanawake wengi sana eti ndo akasema zafanana hakuona jipyaRafiki yangu alinipa story fupi ya muarabu mmoja alikua na mabasi yake yanaenda Tanga yaliitwa Zafanana.
Watu tuna machungu utafanya tukutukane bure...
Sio kila alieachwa ana makosa!!!! Conte wewe....
mimi binafsi zinatofautianaalitembea na wanawake wengi sana eti ndo akasema zafanana hakuona jipya
Wewe Kama nashindwa kusahau kabsaa naishi kwenye maumivu yasiyo na mfano, daah Mungu nisaidieDaa napata wakat mgum sana aoneshi kujali najaribu nam kukaa kimya ila inafika wakati nashindwa nafuta no zake ila inafika wakati natafuta tena no ila nimeweka nadhiri nisimtafute tena naomba mungu anisimamie kwa hilo