moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #221
nadhani ameelewaWatu tuna machungu utafanya tukutukane bure...
Sio kila alieachwa ana makosa!!!! Conte wewe....
nadhani ameelewaWatu tuna machungu utafanya tukutukane bure...
Sio kila alieachwa ana makosa!!!! Conte wewe....
Nadhani amekupataWatu tuna machungu utafanya tukutukane bure...
Sio kila alieachwa ana makosa!!!! Conte wewe....
akizeeka ili umkojoze tena.?Nimekukojoza xn my Ex grl frnd
Subilia uzeeke
kama huna x huwez pata chakusemaSina la kusema
vizuri,sasa usijchanganye tena mana mauvivu yanarudigi tenaYale maumivuu uliyonipa yamepona am healthy & enegertic
tulia vzuri akili itamkumbuka tuNi miaka duh hadi nimemsahau
tulia vzuri akili itamkumbuka tu
Hahahahahahaha.... Msukuma wa dar hyo pole yangu au wengne.?Hahahaha..
Ukiona post km izi ujue mtu kashaachiwa manyoya.Pole ndugu yangu
Huu mchezo.......hasira....alaaniwe na uzao wake wote
Acha kifo kiwafumanie
washuke chini Kuzimu wangali hai;
ee Mungu, utawaporomosha shimoni chini kabisa,
hao hawatafikia nusu ya maisha yao.
YakoHahahahahahaha.... Msukuma wa dar hyo pole yangu au wengne.?
Hahahahaha hagahahaha.... Huyo atakuwa bado anapasha kiporo kama kawaSina X