moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #261
kwani umempata mwingne mkuu..?Wewe Kama nashindwa kusahau kabsaa naishi kwenye maumivu yasiyo na mfano, daah Mungu nisaidie
kwani umempata mwingne mkuu..?Wewe Kama nashindwa kusahau kabsaa naishi kwenye maumivu yasiyo na mfano, daah Mungu nisaidie
Hata mie iko hivi ila aishi kwa amani tu.
Pole ,nadhani ume-recoverHata mie iko hivi ila aishi kwa amani tu.
tena wakat wa kupasha haki hitaji moto mwingiUishi salama my X..!! Ila kwenye kupasha kiporo usinibanie.
subiri alijie tena na kulibebaAmepiga teke fuko la pesa [emoji857][emoji857]
duu,inabidi asubiri na awe makini mwezi ujaoAmepishana na gar la mshahara
amekuelewa....vip mnaweza kumbushia lakini.?Lifes Goes on.... it wont work out between us, but u still my mshikaji....
Duuuh kwako kunateketea kwa mwenzio kuna ungua kumbe wana mambo totozzzzzAendelee tu na maisha yake!
Alinisingizia kanifumania huku anatafuta gia ya kuniacha nisimdai hela zangu!!!! a good (28 mil)
Ajabu kila mtu alkmshangaa! Alikuwa anasimamisha hadi wapita njia kusema kanifumania (ni kipind sitakisahau)
Lakin familia zote yangu na kwao walikuwa pamoja na mimi
Sasa anatuma watu kuomba msamaha (niliwaambia azunguke tz yote aweke mkutano kila balozi ya kuomba msamaha) ni hiyo mikutano yote iwe live kweli medias
amekuelewa....vip mnaweza kumbushia lakini.?
ndo hivyo aiseeDuuuh kwako kunateketea kwa mwenzio kuna ungua kumbe wana mambo totozzzzz
ahahahahhahAjue kuwa Mungu anamuona
Sina ata hamu na mapenzi tena jinsi nilivyotendwakwani umempata mwingne mkuu..?
Ndo hivo mkuu!Duuuh kwako kunateketea kwa mwenzio kuna ungua kumbe wana mambo totozzzzz
pole mkuu kwa kuumizwa,jinsia gan mkuu?Sina ata hamu na mapenzi tena jinsi nilivyotendwa
Asante..kikepole mkuu kwa kuumizwa,jinsia gan mkuu?