kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Heeeeee kumbe hata wanawake nao wanaumizwaga!!!!!!!! kumbe kuna mambo love loveAsante..kike
Heeeeee kumbe hata wanawake nao wanaumizwaga!!!!!!!! kumbe kuna mambo love loveAsante..kike
Kwani sisi hatuna moyo wa kuumia?Heeeeee kumbe hata wanawake nao wanaumizwaga!!!!!!!! kumbe kuna mambo love love
vizur"Thank You For The Party"
kwamba ulikua ulifaham hlo mkuu,au ndo uko katika sanaa yakoHeeeeee kumbe hata wanawake nao wanaumizwaga!!!!!!!! kumbe kuna mambo love love
mkuu"Tuendelee kuwa Marafiki wa Kudumu...
Mkuu hawajafika kumi, Wako Nane tu...mkuu
Kama walikua 10 .?
ahh vizuri mkuu,ongeza wa4 uwe na dozen timu inakua imekamilika afu m1 reserveMkuu hawajafika kumi, Wako Nane tu...
2pacI ain't mad,got nothing but love for them....
duh anataka kupasha kipolo mkuuAache kunisumbua mbona mimi simfatiliii nimemove on huu mwaka wa 3 ila bado ananisumbua na ameishaoa ila bado kunifatilia ili iweje.
Mimi sitaki hata kumuona na ausikilize wimbo wa rich mavocho imebaki storyduh anataka kupasha kipolo mkuu
huo ni wimbo tu mkuu...Kwan alikuitikisa moyo wako hovyo hovyo.?Mimi sitaki hata kumuona na ausikilize wimbo wa rich mavocho imebaki story
pole mkuu hayo ndo matokeo ya mapenzi ni kuumia au kuumizwaMambo haya yanaumiza sana na upande wako umeumiza sana. Mara nyingi inatokea hivyo, ila kibaya kutapeliwa penzi na mali inauma zaidi. Mmekutana anasingizia umesababisha aachwe unabeba mzigo una invest ukimweka pazuri akiona kapata basi unapigwa teke. Waache waoane nawaombea maisha marefu, nimeshasamehe ila inauma sana.
kirefu chake mkuu..?IDFWU