SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
@Vmark hujambo? Eti wasema too late? Ni gate lipi limefungwa?Too late mkuu.
@Vmark hujambo? Eti wasema too late? Ni gate lipi limefungwa?Too late mkuu.
@Vmark hujambo? Eti wasema too late? Ni gate lipi limefungwa?
nipitie twende wote kuleeeenami napita lol
nipitie twende wote kuleeee
Laughing My As* Out hii ni stage zaidi ya LOLMie nisaidieni LMAO
Laughing My As* Out hii ni stage zaidi ya LOL
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"
1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?
Asanteni .
hahahaaa!!lol!!nami napita lol
hahahaaa!!lol!!
fyi= ?lmao... Lough my ass off
smh... Shake my head (inasikitisha)
omg... Oh my god (mungu wangu!)
lol!... Lough out loud (inafurahisha, unachekesha...)
tgif... Thank god it's friday (yaani ni siku ambayo utalala muda mrefu kwakuwa siku inayofuata unapumzika)
pya...protect your ass (yaani kuwa makini na ufanyalo)
Lucifer Our Lord.. msinibishie..
limekuja lingine "kanitangaze" haya maneno ya kike kabisakwanini..???lakini sikatai kwa mawazo yako inaweza kuwa sahihi,nisawa navyoona mimi maneno ya kiswahili kama "majanga","utajiju","sielewi","aje aje"...nikati ya vimisemo ambavyo naona havifaikusemwa na mwanaume
limekuja lingine "kanitangaze" haya maneno ya kike kabisa
Uko sahihi mkuu! Linatumika sana na wale watu wa Free! Ili kuwapofusha wengi, wamewaundia maana nyiiiiingi sana!