Neno " lol " lina maana gani?

Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"

1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?

Asanteni .

Lucifer Our Lord.. msinibishie..
 
lmao... Lough my ass off
smh... Shake my head (inasikitisha)
omg... Oh my god (mungu wangu!)
lol!... Lough out loud (inafurahisha, unachekesha...)
tgif... Thank god it's friday (yaani ni siku ambayo utalala muda mrefu kwakuwa siku inayofuata unapumzika)
pya...protect your ass (yaani kuwa makini na ufanyalo)
fyi= ?
 
kwanini..???lakini sikatai kwa mawazo yako inaweza kuwa sahihi,nisawa navyoona mimi maneno ya kiswahili kama "majanga","utajiju","sielewi","aje aje"...nikati ya vimisemo ambavyo naona havifaikusemwa na mwanaume
limekuja lingine "kanitangaze" haya maneno ya kike kabisa
 
laugh out loudly (lol) huandikwa badala ya te he he he he he
 
Uko sahihi mkuu! Linatumika sana na wale watu wa Free! Ili kuwapofusha wengi, wamewaundia maana nyiiiiingi sana!

Wewe umeshawahi kuona, kusikia hao Free wakilitumia...???Umewaonea wapi...? Umejuaje wamewapofusha wengi kwa maana mbali mbali...??? awalikudokeza kuwa wamepofusha wengi...??

Pathetic fool kabisa.....Una Illusion iliyoambatana na inferiority complex
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom