Neno " lol " lina maana gani?

K

kaysella

Senior Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
141
Points
195
K

kaysella

Senior Member
Joined Jul 8, 2012
141 195
Prove it beyond a reasonable doubt.
lol ni kifupi cha lots of love,kwenye english grammar ile ya zamani tulitumia la saba hadi form 2,ina vyote ikiwemo hii lol
 
P

PO-NDOO

Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
19
Points
0
P

PO-NDOO

Member
Joined Dec 3, 2013
19 0
An abbreviation of "Laugh out Louder"...hahaa haaa haa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Thebroker

Thebroker

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
404
Points
500
Thebroker

Thebroker

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
404 500
Kumbe ndo hivo nilikua sijui aseee
Kuna whatsapp group nipo, kuna dada alipost kuhusu msiba wa mwana group mwenzetu mwishoni akamalizia na lol! Hio lol ikawa ndo topic badala ya msiba.
 
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Messages
337
Points
500
Mr pianoman

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined May 22, 2019
337 500
Hata mimi nilikua sijui maana yake.
Kuna whatsapp group nipo, kuna dada alipost kuhusu msiba wa mwana group mwenzetu mwishoni akamalizia na lol! Hio lol ikawa ndo topic badala ya msiba.
 
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Messages
6,591
Points
2,000
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2016
6,591 2,000
OMG [Oh my God]
YOLO [You only live Once]
ASAP [as soon as possible ]
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
308
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
308 250
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"

1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?

Asanteni .
1. KWA KIREFU NI "LAUGH OUT LOUD" NA "LOTS OF LOVE". KWA MAANA NI KUWA KUNICHEKA KWA NGUVU SANA NA PILI NI UPENDO MWINGI KUTOKA KWAKO BINAFSI.

2. UNATUMIA ABBREVIATIONS HIZI PALE UNAPOFURAHIA/KUFURAHISHWA NA JAMBO FULANI NA PILI UNATUMIA "LOTS OF LOVE" PALE UNAPOTUMA UJUMBE WA KUMAANISHA KUWA UNAJALI NA KUMPENDA MLENGWA HUSIKA.

3. JINSIA ZOTE ZINATUMIA HERUFI NA MANENO HAYA BILA UBAGUZI KWANI YANI HISIA NZURI KUELEKEZA KWA BINADAMU MWINGINE. KWA NYAKATI NI WATU HUJISHTUKIA HASA WANAUME KUTUMIA HAYA MANENO/HERUFI.

NB: KUMUMBUKA KUWA "LOL" HUTUMIKA KATIKA UTUMAJI JUMBE MBALIMBALI BAINA YA WATU JAPO BAADHI HUTUMIA KIMATAMSHI PIA.
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
308
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
308 250
Wengine husema linamaanisha "Licifer our Lord"
Just curious who is right.??????!!!!
IT'S NOT APPROPRIATE OF IT, ILA WAMEJARIBU KULITAFUTIA CONNECTION TU.
 
Revolution

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Messages
639
Points
250
Revolution

Revolution

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2008
639 250
Kimantiki ni kwamba mwanaume huwezi kucheka kwa sauti kubwa sana ya kukenua...ndio maana mkiwa kwenye kadamnasi mwanaume ukacheka kwa sauti kubwa sana watu wanageuka kukuangalia...mwanaume unatakiwa ufurahi na kutabasamu na pia mwanaume hapigi makelele...nafikiri hata kuscream na kumoan sio asili ya kiume.
 
thatone

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Messages
274
Points
250
thatone

thatone

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2019
274 250
1. KWA KIREFU NI "LAUGH OUT LOUD" NA "LOTS OF LOVE". KWA MAANA NI KUWA KUNICHEKA KWA NGUVU SANA NA PILI NI UPENDO MWINGI KUTOKA KWAKO BINAFSI.

2. UNATUMIA ABBREVIATIONS HIZI PALE UNAPOFURAHIA/KUFURAHISHWA NA JAMBO FULANI NA PILI UNATUMIA "LOTS OF LOVE" PALE UNAPOTUMA UJUMBE WA KUMAANISHA KUWA UNAJALI NA KUMPENDA MLENGWA HUSIKA.

3. JINSIA ZOTE ZINATUMIA HERUFI NA MANENO HAYA BILA UBAGUZI KWANI YANI HISIA NZURI KUELEKEZA KWA BINADAMU MWINGINE. KWA NYAKATI NI WATU HUJISHTUKIA HASA WANAUME KUTUMIA HAYA MANENO/HERUFI.

NB: KUMUMBUKA KUWA "LOL" HUTUMIKA KATIKA UTUMAJI JUMBE MBALIMBALI BAINA YA WATU JAPO BAADHI HUTUMIA KIMATAMSHI PIA.
Bt mda mwngine lol ni kama mshangao yaan kihisishi(navojua mim)
 
Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top