Dakxir
Member
- Jan 20, 2018
- 44
- 97
Wana JamiiForums naomba msaada wa kujua nini maana ya neno MSHUA. Wakati gani hutumika, mazingira gani husika, jinsia gani hutumia na ni muhusika ni nani hasa anapaswa kuitwa MSHUA.
Hovi karibuni nimekuwa naliskia sana hili neno MSHUA haswa napokutana na jamii tofauti hata pale unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza 😳😳utashangaa linatangulia neno MSHUA. Kwanini MSHUA?
Nakuwa nashangaa 👺👺👺hasa napoitwa MSHUA. Kwa umri nina miaka 28, mpaka najiuliza au nimekuwa kibabu👴👴👴 kwenye muonekano wa macho ya watu.
Naudhika na hili neno MSHUA😣😣😣😣.
Msaada niondokane na hii stress ya hili neno MSHUA🙇🙇✍️✍️