Chanaiti
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 208
- 93
Yaani kuna mmoja huyo tangu aione sijui aisikie wapi kakazana kucomment Looooool kila comment ichekeshayo anajibu Looooool sasa najiuliza hizi Out zote za nini kulikua na haja gani ya kulifupisha. Ila ndo vile tena kitu hukielewi unadakia na kuongeza chumvi na sukari kumbe ndo waharibu na kuonesha ujinga wako uko mwingi kiasi gani.Hata mimi huwa nashangaa wana maana gani! ingekuwa looo! ya mshangao ningeelewa lakini hiyo nyingine ni kituko!