NECTA mnawaonea watoto

NECTA mnawaonea watoto

mitoto inashinda instagram haisomi inataka kufauru ina simu za mamilioni utazani mikurugenzi ya makampuni pro ndalichako chinja chinja kbs mama heshima irudi kwenye elimu yetu
 
huwezi kujiunga na advance gadi uwe na c3...chuo cha walimu unaweza kwenda ....kama pia ni masomo ya sayansi jaribu kuomba udom special diploma
Ualimu kwa matokeo hayo hapati na special diploma hata asijaribu
 
Ila mkuu linawezekana kwa vyuo vya serikali kweli...

Halafu pia, nilisikia hakuna certificates now days, ni diploma ya 3 yrs....mwaka Wa kwanza Wa masomo wana-assume ni level ya certificate then unaunganisha...

Hili ni la kweli wakuu?
Ni kweli ndo maana div four haina nafasi tena vyuo vya ualimu
 
Rudia shule kilaza inakuwa vipi kwenye masomo tisa unashindwa kupata angalau "C" tatu kwanza ambao wanaunganisha sijui vyeti viwili ndio kwenda A level anaona bado vilaza ata CV zao wakibahatika angalau kupata Three A level zinakuwa hazipo stable.Kupata Div One na Div Four ni rahisi kuliko kupata Div Two.ukiwa na misingi mizuri kupata kijiti O level na A level ni rahisi sana
Mkuu usiseseme hivo huwa inatokea inakuwa ngumu kabisa kupata hizo C3...
 
Bora kupiga diploma ukimaliza unaanza life au km vp unaenda degree huku ukiwa fit kitaaluma kuliko kureseat halaf ukose credit au ukiipata halaf ukute kigingi tena A level...Think twice
Hiyo diploma anaipigia kwa matokeo yapi??kama ni div 4 asahau
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Kijana Kama unataka kufanikiwa darasani, achana na ku-chart na internet na Smart phone. Hivi vitu ni fashion na vitapita.

Mitandao imekuja wakati mbaya sana kwako. Bila wewe kua na nidhamu(discipline) ya masomo huchomoi.
Hukupaswa kupata "F" maths
 
Mimi nakumbuka mzee ananipa zawadi ya simu nokia tochi na LiPC la kizamani baada ya kuweka kichiti cha tano A level tena PCM hapo nikaona bonge la zawadi lakini siku hizi madogo wanasimu mpaka za millioni ngoja ndelichako awafundishe muhimu wa shule sio blah blah
 
hujaeleweka. Weka yale madaraja yalivyokuwa tukumbuke
Mku katibu mkuu wa NECTA aliulizwa na Ivona Kamuntu wa Azam tv kuhusu madaraja na tofauti zake ni zipi kutoka kwenye mfumo wa GPA kwenda kwenye mfumo wa division. Katibu huyo akasema namnukuu "tofauti ni namna tu ya daraja linavohesabika kwani wakati wa GPA D ilianzia 30 na A ilianzia 75 na kwa sasa kwenye division bado D imeanzia 30 na A imeanzia 75" mwisho wa kunukuu, Sasa hapo haijaeleweka bado madaraja yamekaje,kwanini nectar hawajutuwekea madarja yote kwa ujumla wake?
Kama tumerudi kwenye mfumo wa zamani wa division kwanini haturudi kikamilifu ambapo A ilianzia 81? Na kama kuna madaraja mapia tuelezwe maana kwa sasa hatujui madaraja yalotumika ni yapi hasa kulingana na kauli ya katibu mkuu wa NECTA. Tukumbuke tu tulishakuwa na mifumo mingi mpaka wa division V sasa madaraja yawekwe wazi vizuri
 
Nyie ndio mnao dilute elimu ya TZ. Wewe hizo grade umetoa wapi halafu unapotosha watu kwenye jukwaa lenye hadhi Kama hili??? 0-20 has always been F

Queen Esther

Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.

Pole sana. Ili tukishauri vizuri funguka useme hozo C mbili ni ktk masomo gani na hizo D nne ni ktk masomo gani. Ukiona inasumbua jiajiri uwe mjasiriamali au nenda kozi za kutumia nguvu kama jeshi magereza au polisi
 
Mku katibu mkuu wa NECTA aliulizwa na Ivona Kamuntu wa Azam tv kuhusu madaraja na tofauti zake ni zipi kutoka kwenye mfumo wa GPA kwenda kwenye mfumo wa division. Katibu huyo akasema namnukuu "tofauti ni namna tu ya daraja linavohesabika kwani wakati wa GPA D ilianzia 30 na A ilianzia 75 na kwa sasa kwenye division bado D imeanzia 30 na A imeanzia 75" mwisho wa kunukuu, Sasa hapo haijaeleweka bado madaraja yamekaje,kwanini nectar hawajutuwekea madarja yote kwa ujumla wake?
Kama tumerudi kwenye mfumo wa zamani wa division kwanini haturudi kikamilifu ambapo A ilianzia 81? Na kama kuna madaraja mapia tuelezwe maana kwa sasa hatujui madaraja yalotumika ni yapi hasa kulingana na kauli ya katibu mkuu wa NECTA. Tukumbuke tu tulishakuwa na mifumo mingi mpaka wa division V sasa madaraja yawekwe wazi vizuri

Yani A inaanza 75 na bado watoto wanafeli aisee kuna aja kupiga viboko hii mitoto ya digitali
 
Kwanza kuna vitu havijawekwa sawa na baraza. Hivi kunatofauti gani kwenye madaraja kati ya GPA na Div? Maana nimeona akisema D inanzia 30 sawa na ilivokuwa kwenye GPA, A inanzia 75 kama ilivokuwa kwenye.GPA. Sasa kwa maelezo hayo mbona bado hatujarudi kule kwa division za zamani hasa pale ambapo A ilikuwa inaznia 81 kwa O-level.
Kwanza niseme jambo moja... Watanzania hatuna kawaida ya kufuatilia mambo! Wewe leo anzisha jambo lolote kwa maslahi yako na watu watalichukua na kutokana na tabia hii wanasiasa wameshatufahamu!

Nini nataka kusema? Kimsingi hakukua na tatizo lolote kwenye GPA-- tatizo lilikuwa kwenye grading... A inaanzia wapi na inaishia wapi; hali kadhalika B, B+, C n.k! Watanzania tungekuwa makini, hili ndilo tungepaswa kulitupia macho na wala sio GPA! Ndalichako akatusoma... kwamba Watanzania wanaamini GPA inashusha kiwango cha elimu... najisikia aibu! Alichofanya ni kufuta GPA na watu tukatamani kumpelekea mashada ya maua kwa hongera! Na tangu afute mfumo wa GPA, kelele zimeanza kupungua kumbe tatizo la msingi lipo pale pale!

Nikirudi kwenye hoja yako; natamani sana kupata grading system iliyotumika. This's GPA thing is all bullshit-- itumike ama isitumike, it doesn't matter so long as the grading range ipo vizuri. Ikiwa grading wameirudisha ile ya awali, then well and good. And of you ask me, nina mashaka ikiwa wameirudisha kwa 100% otherwise, ile tofauti ya ufaulu wa -1.8% ingekuwa ni zaidi ya hapo! But who cares... watu tulikuwa tunaona GPA ndo tatizo na kwa kuwa ukiangalia matokeo there's nothing like GPA; Bingo!
 
Mambo yanabadilika tuendane na mabadiliko yanayo leta tija. Ndalichako nampongeza sana. Kila mwanafunzi atavuna alichopanda
 
Back
Top Bottom