Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .