NECTA mnawaonea watoto

NECTA mnawaonea watoto

Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Vyuo vya ualimu kwa sasa div. 4 yeyoye haina nafasi kabisa fikiria ku re seat ndugu
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Haiwezekani, wee nenda ukarisiti kama unataka kwenda form 5 au nenda ualimu, polisi,jeshi (jkt) veta nk..
 
HAIWEZEKANI....hujafikisha credit 3 (C 3)..km uwezo unaruhusu kasome diploma/certificate hukosi chuo cha binafsi tena course chaguo lako
 
Usiogope ualimu nadhani utapata nacte wakitoa nafasi apply usijichoshe njoo huku ule hela!!
 
Haiwezekani, wee nenda ukarisiti kama unataka kwenda form 5 au nenda ualimu, polisi,jeshi (jkt) veta nk..
Aliekwambia Jeshin ndio wanakuja waliofeli…? jeshin wapo watu wenye timamu zao na walio vizuri, rekebisha mawazo yako juu ya hili
 
Usiogope ualimu nadhani utapata nacte wakitoa nafasi apply usijichoshe njoo huku ule hela!!
 
Wakuu hivi mtoto mwenye Four ya 29 unampleka wapi?
Inategemea ndugu yako ni wa namna gani,maana wengine ukimwambia nje ya kusoma hatakuelewa wakati wengine ukiwaambia kurudia mitihani hapo utataka ugomvi...just msikilize nini anahitaji then mshauri kwa kadiri uonavyo inamfaa kulingana na uwezo wake,ujuzi wake,juhudi,kipaji bidii na hobby yake. Then hapo ndo unaweza kuleta hilo hapa
 
Chuo certificate....
Mdogomdogo had degree
Ila mkuu linawezekana kwa vyuo vya serikali kweli...

Halafu pia, nilisikia hakuna certificates now days, ni diploma ya 3 yrs....mwaka Wa kwanza Wa masomo wana-assume ni level ya certificate then unaunganisha...

Hili ni la kweli wakuu?
 
Inategemea ndugu yako ni wa namna gani,maana wengine ukimwambia nje ya kusoma hatakuelewa wakati wengine ukiwaambia kurudia mitihani hapo utataka ugomvi...just msikilize nini anahitaji then mshauri kwa kadiri uonavyo inamfaa kulingana na uwezo wake,ujuzi wake na hobby yake. Then hapo ndo unaweza kuleta hilo hapa
Asante sana mkuu,
Let's say...anapenda kuendelea kusoma , tofauti na kurudia mtihani hakuna namna nyingine ambayo mtu aliepata four ya 29 anaweza kwenda soma?
 
Haiwezekani, wee nenda ukarisiti kama unataka kwenda form 5 au nenda ualimu, polisi,jeshi (jkt) veta nk..
Kwa hiyo ualimu,police ndo sehemu zinazofaa watu waliofeli,huoni anaweza tengeneza bomu jingine tena?
 
Kwanza kuna vitu havijawekwa sawa na baraza. Hivi kunatofauti gani kwenye madaraja kati ya GPA na Div? Maana nimeona akisema D inanzia 30 sawa na ilivokuwa kwenye GPA, A inanzia 75 kama ilivokuwa kwenye.GPA. Sasa kwa maelezo hayo mbona bado hatujarudi kule kwa division za zamani hasa pale ambapo A ilikuwa inaznia 81 kwa O-level.
 
Back
Top Bottom