NECTA mnawaonea watoto

NECTA mnawaonea watoto

Vyuo vya ualimu kwa sasa div. 4 yeyoye haina nafasi kabisa fikiria ku re seat ndugu
Chukua certificates zingine. Kuna kilimo, public administration, ustawi wa jamii, Laboratory tech, nk. A ngalia Masomo uliyofaulu ndo uchague kozi hachana n.a. kureseat
 
Wana siasa waliharibu hadi mfumo wetu wa elimu. Sijui walitaka nini hawa wakoloni weusi. Elimu bora iliishia 90s. Shule ni kama jeshini, you must read and learn to pass otherwise you must fail.
 
Kwanza kuna vitu havijawekwa sawa na baraza. Hivi kunatofauti gani kwenye madaraja kati ya GPA na Div? Maana nimeona akisema D inanzia 30 sawa na ilivokuwa kwenye GPA, A inanzia 75 kama ilivokuwa kwenye.GPA. Sasa kwa maelezo hayo mbona bado hatujarudi kule kwa division za zamani hasa pale ambapo A ilikuwa inaznia 81 kwa O-level.
hujaeleweka. Weka yale madaraja yalivyokuwa tukumbuke
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.

Hapa ndipo mpini ulipokatikia!! Ukawe mwalimu ufundishe nini? Hayo masomo uliyopata D and F?? Tuanze na hili, kazi ya kufundisha wasiachiwe waliofeli bali walioshinda. Najua si hilo tu linahitajika kufufua elimu yetu lakini ualimu isiwe ni kazi ya walioshindwa!!! Ushauri wangu ni kuwa uende kwenye technical trades (ufundi mchundo). Huko utakuwa na uhakika wa ajira.
 
Anaweza kusoma certificate au diploma katika vyuo vinavyotambuliwa na taasisi husika then akaendelea na mfumo wa elimu ya juu huko mbeleni na hao mara nyingi wanakuwa wazuri sana kuliko waliopitia Form vi.

Nakubaiana na wewe kabisa kama kuna uwezekano wa mtu aliyepata division 4 kusoma cerificate ni best option kuliko kurudia mitihani ambapo mara nyingi ni kupoteza muda na uhakika wa kupata credits ni mdogo. Mimi binafsi nina ndugu zangu wengi walipata divison 4 na wakaenda kusoma certificate, wengi wao wana degree na masters kwa sasa.
 
KWA MWANAFUNZI MWENYE KUPENDA MASOMO HII IKO SAWA ,PIA F NINGEPENDEKEZA IANZIE 0-50 ILI VILAZA WANYOOKE!
Mkuu mimi nimesoma FTC na hiyo ndo ilikuwa grade. 0 - 49 ilikuwa F. Tulisoma sana.
 
Haiwezekani, wee nenda ukarisiti kama unataka kwenda form 5 au nenda ualimu, polisi,jeshi (jkt) veta nk..
Ualimu haiwezekani maana siku hizi wanapiga diploma kwahyo wanachukua kuanzia div 3 hadi 1 labda asubirie ajira za majeshi
 
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Sio lazima kwenda A level.. tafuta certificate hata ya mwaka then unaenda diploma.. from there utaangalia kama unataka kusoma degree au la! maisha lazima yaendelee
 
Maisha ni safari ndefu wanajf jaribuni kutoa ushauri mzuri, wengine mnakatisha tamaa wenzenu kabisa, ukipata D sio kwamba umefeli hyo ni pass ndio maana hata necta wanaandika ''pass" labda f ndio fail, coz f haiwezi kukupeleka popote but D ukiwa nazo nyingi unaweza kusomea course yoyote cha msingi ni ww kwamba unataka course gan? ni mtazamo tu!
 
Kwenda kidato cha tano haita wezekana hadi uwe Na C tatu hapo rudia mtihani Ili upate moja ualimu inategemea umemaliza mwaka gani
Duh! Ukifeli ndo unaukumbuka ualimu!! Duh kwa hiyo ualimu ndo special kwa vilaza ??
 
Grade ya ufaulu sio issue, bali cha msingi ni effort kiasi gani itatumika kufikia level husika? Je, nini tafsiri halisi ya mtu kufikia ngazi iliyowekwa kuwa ya ufaulu...?
Mfano; Kama "F" ingekuwa "0-10", "0-20" or even "0-50", Je, mtahiniwa atapaswa kutumia effort kiasi gani kuvuka hapo? Na Je, Akivuka hapo, nini maana halisi ya achievement yake kwenye knowledge; au uwelewa halisi?
Kwangu mimi sijali sana muundo wa ufaulu, bali ni material knowledge kiasi gani mtu anatakiwa ku-deliver ili kufikia level ya ufaulu?
Mfano; kuna vyuo vingine pass-mark zao ni 40, na zingine 50, lakini wahitimu wote wakikutana kwenye field wanakuwa sawa, au kila mmoja huenda akamzidi mwingine; provided wote wamesomea carrier moja....!
 
Back
Top Bottom