Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Nunua magazeti ya leo( Nipashe). Hiyo unayosema ni ya A-Level. Ya Ordinary level bado km uliyoandika around 20.Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .