Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Kwa maana hiyo kama Mrema angekuwa ameshinda kwa chini ya kura 6,372 tungesikia matokeo tofauti na hayo tunayo yajua kwa sasa....dawa ya hawa mafisadi ni kuwa shinda kwa kura nyingi mpka wanachanganyikiwa kuchakachua mtu kaongezwa kura 6,372 lakini bado tu...sijui hawajui mahesabu kweli si uliona zile za spika wa bunge walituambia CCM 74% CMD 16% zilizokuwa zimehalibika 2% sijui kama wamesha fanya malekebisho mpaka sasa au wamepotezeaSahihisho kidogo Meela wa CCM kura za sasa ni 17,498 badala ya 23,870 alizopewa awali ina maana ailkuwa ameongezewa kura 6,372 zaidi.
Lakini total bado inazidi idadi ya waliopiga kura ukijumlisha unapata kura 55,677 lakini wao wanasema kura halali ni 53,914 hii imekaaje, asante ZeMarcopolo kwa kunote hilo.