Elections 2010 NEC yabadili matokeo ya Vunjo yasema ilikosea

NEC wameanza kuangalia huko Vunjo. Vipi wana ubavu wa kupitia tena matokeo ya urais? kama watakuta kasoro watafanya nini? Naona hawa jamaa walichukuliwa mambumbumbu wamezoea kuhesabu kutumia vidole na vijiti mara wakaletewa tekinolojia ya kompyuta. Piga, ua, garagaza hawana capacity. wamechaguana kindugu na wala siyo kwa mwenye utaalam

Mkuu, au umesahau kule Kilombero kwa dada Regia ambako walichakachua kwa kutumia calculator ya kwenye simu?

Hawa akina Kivaitu naona usiku watakuwa hawalali vitanda vinazunguka, roho na akili zao vinawasuta! ndio maana wanaanza kujirudi taratibu..

Naamini mda si mrefu Mkwere atawapiga chini ili kuepusha aibu
 
Kwa picha hii ndogo naamini ndugu yangu William anayeishi Ughaibuni na aliyekuwa haamini kama kulikuwa na matatizo kwenye suala zima za kuchakachua kura za Watanzania tuliopiga kura sasa amepata picha kidogo ya hali halisi kwa taarifa hii ya Vunjo. Tume ya uchaguzi aibuuuuu
 
Inashangaza hasa. Maana inakuwa kama zile karatasi za kura zilizopatikana mpakani mgao wake walikadiria vibaya wakadhani Vunjo wakipeleka elfu sita tu za uchakachuaji zitakuwa zinatosha kumbwaga Mrema. Sasa zikapungua kidoogo tu!
 
What is the essence towards making such changes,would it be better to reconsider the presidential votes too?
 
Mimi nimejumlisha kura zote za awali, yaani 29,047+23,870+6,316+118=59,351; wakati jumla ya kura baada ya marekebisho ni 30,810+17,498+6,558+811=55,677. Hapa kuna tofauti ya kura 3,674 zilizoongezeka baada ya marekebisho, je hizi zimeibuka kutoka wapi????
 
Wameanza Kubadilisha Matokeo na Joto Linaongezaka Makwapani. CCM-NEC Hawajui Chadema Wanajua Vitu Gani na Hasa Kila Mtanzania Afuatilie Maswali Dr Slaa Aliuliza Kwenye News Conf. Kwanini Idadi Wananchi Waliojiandikisha ni Ndogo Ukilinganisha na Wananchi Waliopiga Kura. Computer za NEC Zimekutwa na Bugs, Inawezekana Wametumie Excel na TX Calculator. Na Hizo Kura Alizopata Kikwete Zimetoka Wapi? Wananchi Tufuatilie na Keep Pressure on CCM..........
 
Mimi nimejumlisha kura zote za awali, yaani 29,047+23,870+6,316+118=59,351; wakati jumla ya kura baada ya marekebisho ni 30,810+17,498+6,558+811=55,677. Hapa kuna tofauti ya kura 3,674 zilizoongezeka baada ya marekebisho, je hizi zimeibuka kutoka wapi????

Kwa maana nyingine hawakujua hata idadi ya waliopiga kura. Unapochakachua lazima kwanza ujue vitu vya kureconcile. Chukulia mtu alikupa elfu 1000. Wewe baada ya matumizi unamwambia nilitumia mia 700 zikaisha? Mia 300 ziko wapi. Kama una akili kabla ya kuwasilisha lazima utafute sababu ya kwa nini 300 haionekani
 
...just to keep the pressure on, hivi si hata huyu Lyimo wa NLD anaweza kufungua kesi ya kudai kudhalilishwa kwa kuandikiwa kuwa na kura 118 kumbe ana kura 811 nzimaa? Afungue kesi,hata kama ni just for the heck of it...
 
Watu wa NEC roho zao zimeshaanza kuwasuta dhidi ya dhuluma walioufanyia uma wa Tanzania,na huo ni mwanzo tusubiri hatua madhubuti zitakapochukuliwa dhidi yao.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ukidhamiria kuua, ni sawa na kuua. Ukidhamiria kuiba, ni sawa na kuiba. Mahakama inatakiwa kuprove beyond reasonable doubt kuwa ulitenda kosa. Hivyo,basi NEC watahesabikwa ni WAUAJI tu; hata kama wanajidai hawezi kupingwa eti katiba hairuhusu. Makosa ya aibu hayo, ICC inawasubiri hata wakifa, mifupa yao itapelekwa TheHeigh, .......

Wanajua wanachokifanya.....hatuhitaji kuwakumbusha kila wakati.....Huwezi kukaa unawaambia watu, MAKOSA YA KIBINADAMU wakati unajua hata jambazi ni binadamu, so what?

Mkuu tuko pamoja hasa Hapo kwenye bold :doh: :A S angry: :bowl:
 
Back
Top Bottom