NEC yabadili majina ya majimbo matatu na kutangaza tarehe za kuchukua fomu

MaCCM yasome alama za NYAKATI..
Wa tende haki kwa usawa, mtakua mna tulaumu tu kuwa tunafurahi mkifa.

MALOFA tunashangilia kibingwa kifo cha Sokwe mtu. Matendo yake yalikosa ubinadamu na utu mfano Zanzibar na Burundi.
 
Refa kaanza uwoga mapemaa wakati kwanza timu ndiyo zinapasha!!
 
kama mliendea kwa babu yale majina ya zamani inabidi mrudi tena.
 
Juzi imedhihirika kuwa tume ni ya CCM kwani mwenyekiti wa chama alikuwa akitoa maelekezo jinsi tume itakavyofanya kazi na jinsi na mahali pa kuchukulia fumu na kutangazia matokeo.
 
Well noted. Tunasubiri kipyenga, tumstaafishe Sugu hapa Mbeya (M). Tumechoka blah blah na maandamano

Kitu cha kwanza ni Mahakamani kuweka zuio TULIA asigombee kwa sababu alianza KAMPENI KABLA ya muda.

NEC wanajuwa hilo.

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA anajuwa hilo.

POLISI wanajuwa hilo,

walishuhudia hilo

na

Waliweka ulinzi kwenye mikutano yake.
 
Back
Top Bottom