chizi1
Member
- Dec 16, 2011
- 77
- 23
MAANDAMANO.
Legal and Human Rights Centre
Makubaliano: Tukutane Salander Bridge mchana huu (saa nane); tuwe na mabango ili kuishinikiza serikali kuacha kufanya mzaha na afya za watu.
Tujitokeze kwa wingi; tutakubaliana zaidi cha kufanya baada ya hapo.
Legal and Human Rights Centre | Facebook
acha utani..hii ni kweli? semeni twendeni tu.. mi natokea ubungo..kama ni kweli nilete na vijana..pambafu..lazima ajipige kidole mwaka huuu