lakini pia kumbuka hakun pesa za zaira kama hizo.........
Hili taifa lina hasara sana kwa kuwa na huyu rais.hopeless!
Watu wanakufa mahospitalini bila huduma, yeye anang'ang'ana na katiba ya ccm! Hivi huyu ni rais wa Tanzania au rais wa ccm?
Dah! Ni wewe mkuu!!!?Kiukweli lengo la kikao hicho sio kujadili katiba ya CCM, hoja ya kujadili katiba ya CCM sio hoja ya kidharura kihivyo!.
Lengo la kikao hicho ni ku practice Party Supremacy over the government!. Baada ya ile kanuni ya chama kushika hatamu kufutwa, kwa sasa taifa liko katika hali tete ya mgomo wa madaktari, JK ambaye ndiye mkuu wa the executive alitakiwa awe amesha intervene tangu hajaenda Davos!. Akiwa Dovos akatoa maelekezo kwa Pinda kufanya alichokifanya, aliporudi tuu hii ndio ingekuwa priority no.1 kudeal nayo ikiwemo kufanya maamuzi magumu lakini due to his weakness hakufanya lolote!.
The weak are always scared, hivyo anaitisha NEC ya CCM ili kupata baraka za maamuzi makubwa anayopanga kuyafanya ikiwemo kulivunja baraza la mawaziri au kufanya mabadiliko makubwa!.
unategemea nini kwa rais aliyepata GPA ya 2.4 !!! very mediocre...
Naona mnapeana zamu ya kuingia humu kumwaga kinyesi siku hizi!!1kama kweli wewe una elimu ya chuo kikuu utakubaliana nami kwamba GPA haina mahusiano makubwa na mafanikio katika utendaji. Zipo GPA za kweli, za chupi, za kuiba mtihani, za kuchungulia karatasi ya mtihani kwa mtahiniwa mwingine. Ni heri ukapata GPA ya 2.4 lakini ikawa halali. Wangapi wana GPA nzuri lakini wameshindwa pia kuonyesha ufanisi katika maeneo ya kazi zao?
Jk chama kimekushinda, je utaiweza nchi?????
unategemea nini kwa rais aliyepata GPA ya 2.4 !!! very mediocre...
tetesi zimezidi hapa JF mods peleka thread hii hoja mchanganyiko hapa inatuchanganya tu.