NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

Kiranga, binafsi nakuunga mkono 100%, tunatakiwa kuanza kubadili system yetu kwanza ya then ndo tunaweza pata mtu wa kufaa kutuongoza. Vinginevyo labda tusubiri nabii Musa aje kututoa nchi ya utumwa.
 
Hakuna jipya litakalojadiliwa pale. Ni ushamba huo, hakuna habari ya katiba ya ccm. Tunajua wanataka kuwatisha wabunge kuhusiana na misimamo yao kwenye mambo yanayolisumbua taifa letu. Tunafahamu pia kuwa hakutakuwa na waandishi wa habari katika kikao hicho. Kwa hiyo yote atakayoyasema nape hatutayaamini.

CCM haina dila wala mwelekeo wa kuikomboa Tanzania katika matatizo yaliyopo.
Hujui elitendalo na hujajua wapi unaharibu mtazamao wako CCM itakuwa hivi hivi daima na hutajua ni nini wanafanya ndani ya chama makini
 
Leo kinaanza kikao cha kamati kuu ya CCM. Kikao yaonekana kitakuwa moto kwa taarifa kuwa baadhi ya wajumbe NEC hawataki mabadiliko kwa hofu ya vyeo vyao kupunguzwa maana wengine wana vyeo zaidi ya vitano.

Mwenye zaidi atujuze
 
leo kinaanza kikao cha kamati kuu ya *******. Kikao yaonekana kitakuwa moto kwa taarifa kuwa baadhi ya wajumbe nec hawataki mabadiliko kwa hofu ya vyeo vyao kupunguzwa maana wengine wana vyeo zaidi ya vitano. Mwenye zaidi atujuze .

Achana na huu utumbo wewe, hii ni mara ya ngapi kupewa ngonjera za moto utawaka' moto utawaka?!

Hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake pale, wote wameoza
 
Kwanza naipongeza sana kamati teule ya mhe msekwa kwa kutoa mapendekezo ya kuimarisha chma,ni vyema wabunge wasigombee vyeo vingi ndani ya chama kwa sababu kwa nafasi yao tu ya ubunge ni wajumbe wa halamshauri kuu ya mkoa.lakini pia wamekuwa kikwakwazo ka siasa majimboni,unakuta yeye mbumge na yeye mnec api na wapi!
 
Hivi Mwanahasha ni jina la mtu???

ni jina la mtoto wa jakaya kikwete , huyo dogo amepata div4 mwaka uliopita katika shule ya feza girls ambayo imekuwa ya pili kitaifa, huku div4 ikiwa yake pekee: thts y baba mwanaasha..sasa hivi anatafutiwa nafasi ya ualimu(gradeIIIA).
 
Achana na huu utumbo wewe, hii ni mara ya ngapi kupewa ngonjera za moto utawaka' moto utawaka?!

Hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake pale, wote wameoza
Hapa moto utawaka vipi wakati wao wote ni moto ! ufisadi.jpg
 
Achana na huu utumbo wewe, hii ni mara ya ngapi kupewa ngonjera za moto utawaka' moto utawaka?!

Hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake pale, wote wameoza
...kwa hili bandiko lako kuna la kuongeza?,hapana uko sawa kabisa mkuu...tuliusikia wimbo wa kuvuana ******* mpaka sasa umechuja,nadhan huu wimbo waliokuja nao tena wa kubadiri huo ujinga wao wanaoiuta katiba ni remix tu ya ule wa-kujivua *******...HAKUNA LA MAANA KUTOKA KWA HAO WACHUMIA TUMBO...
 
ni jina la mtoto wa jakaya kikwete , huyo dogo amepata div4 mwaka uliopita katika shule ya feza girls ambayo imekuwa ya pili kitaifa, huku div4 ikiwa yake pekee: thts y baba mwanaasha..sasa hivi anatafutiwa nafasi ya ualimu(gradeIIIA).
thubutuuuuu,
utaenda wewe huko
 
Hebu tujuzeni kama watakubaliana kutenganisha Urais na Uenyekiti wa chama chao. Hii ndio itakuwa na impact kwa jamii kwani Lowassa akiwa Mwenyekiti halafu Baba Mwanaasha akabakia Rais kutakuwa na balance nzuri sana ya pawa
 
Ok nimeprove ya kuwa MA.GA.MBA ni tusi so kuanzia sasa Ban zianze, pia Mods ni vema kuanzia leo mkaainisha ni maneno gani hayastahili kuandikwa humu jamvini
 
Kwanza naipongeza sana kamati teule ya mhe msekwa kwa kutoa mapendekezo ya kuimarisha chma,ni vyema wabunge wasigombee vyeo vingi ndani ya chama kwa sababu kwa nafasi yao tu ya ubunge ni wajumbe wa halamshauri kuu ya mkoa.lakini pia wamekuwa kikwakwazo ka siasa majimboni,unakuta yeye mbumge na yeye mnec api na wapi!

Hata chekacheka hatakiwi kuwa m/kiti wa chama, abakie na cheo chake cha 'waziri wa nchi za nje'.
 
Hivi ma.ga.mba ni tusi mpaka liwekwe sensor???. Hii kali ya mwaka huu. Itafikia kipindi mods wataweka sensor kwenye neno CCM

hawa ******* hawana lolote tusubiri tuone

Ngoja na mimi nijaribu kama ******* ni tusi

Ok nimeprove ya kuwa MA.GA.MBA ni tusi so kuanzia sasa Ban zianze, pia Mods ni vema kuanzia leo mkaainisha ni maneno gani hayastahili kuandikwa humu jamvini

Hawana maana, wamezuia eti neno maggamba lisionekane, aibu yao hao ni maggamba tuu hao

usiandike kwa wingi ma.ga.mba..andika kwa umoja ga.mba...au jf nao kama kibonde wa clouds.
wamekunywa damu ya kijani

Kumbe 'Gamba' ni tusi?

he! Hivi ******* ya nyoka ni tusi kwenye siasa.

magambaz ni chama cha wenye gamba

Du magambaz hawataki tena ilo jina?

mods acheni umagamba

Wakuu linashusha hadhi ya chama.
 
Back
Top Bottom