NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

Sual kubwa ni kuwa kuna baadhi ya mawaziri wanataka kujiondoa ktk serikali na walishamdokeza mkulu akiwemo mtoto wa mkulima. Inasemekana MM ameshaomba mara mbili aachie ngazi ila wakamsihi aendelee. Suala lingine ni la mawaziri ambao anadai wamechoka na wanashindwa kwenda na kasi yake, anafikiri kuwatema kwa sababu za kiafya au umri

...Ebu tusidanganyane bana, kwani Kikwete ana kasi?mbona yupo kwenye state of rest muda wote?
 
Kuna taarifa za kuwapo kikao cha NEC cha dharura mjini Dodoma. Taarifa rasmi hazisemi kinahusu nini hasa ila hisia na minong'ono ni mingi. Wengine wanasema kuna kishindo kikuu, wengine wanasema ni kulainishana, na wengine wanasema ni hatua ya "mtu akikutishia kukupiga risasi muwahi kwa kufyatua yako" maana akifyatua atakuua. Kwa mwenye taarifa zaidi atujuze, NEC ya dharura kuna nini?
 
Mkuu, kikao cha NEC kwa dharura, wamepata wapi wajumbe wote kwa dharura...nahisi walishajua watakutana.
 
Uzuri wa dharura hua zinatengeneza attention
 
sidhani kama kuna maamuzi mazito zaidi ya propaganda
 
Watu wanakufa mahospitalini bila huduma, yeye anang'ang'ana na katiba ya ccm! Hivi huyu ni rais wa Tanzania au rais wa ccm?

We ushaambiwa kuwa wale hawana shida na afya zetu,wana shida na kura zetu...
 
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Wanakwenda kumrudishia Law..wasa taulo 294053_251628991525188_100000342668655_888846_6707681_n.jpg
 
mlioko dar nendeni kwenye maandamano!!
 
nyie hamjamuelewa.. anatafuta pakutokea, anaona akiweka topic ya katiba tutasahau haya mengine.. ni upumbavu huo.. huwezi ukafanya timing ya katiba wakati wa crisis ya nchi. wangefanya maamuzi tu, either avunje baraza la mawaziri au atoke yeye. HE IS FREAKIN COWARD..
 
Back
Top Bottom