Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.

Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.

CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.

Kugushi sahihi ni Kosa kama umefanya kinyume na matakwa ya dictator, kama Ni kwa maigizo ya dictator uko salama, maana hakuna dictator anaogopa mahakama.
 
MkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANA
Hata hueleweki nafikiri utakuwa umevuta bhangi mkuu!
 
MkunduLE wewe, Maskini anayeishi chato anapata wapi nauli ya kuja nec kuthibitisha? Unafikiria kwa kutumia tundu la kutolea kimba nini? Aliyebeba kiwiliwili chako miezi tisa KAPATA HASARA SANA
Pole! Umekasirika ndugu? Umeshindwa kuhimili jazba? Pole sana, taratibu utazoea tu
 
Back
Top Bottom