Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Umesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko yeye. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Mbona unamsemea Mnyika? Hiyo Saccos yenu inamatatizo makubwa sana hapo ndani!
 
Hakuna kosa kubwa Tz kama kugushi sahihi ya mtu sasa kama NEC wamegushi mimi naomba Chadema wafungue kesi ya kugushi sahihi.

CHADEMA WAKIFUNGUA KESI NAOMBA MNITAG.
Wafungue kesi kwa mahakama ipi ambayo itatenda haki? hivi CHADEMA wateue mbunge wa viti maalum akatolewe gerezani usiku wa manane kuja kuapisha tena anashitakiwa na jamhuri?
 
Tunasemaje ukimaanisha tuna imani na kinachosemwa na tume ama? Kama hiyo tume ilitoa matokeo ya kura za kwenye mabeg, sasa hii ndio it's sema ukweli? Cdm fukuza hao wahuni ili wao na tume wakajuane.
Ngoja Faru John arudi toka Nairobi aseme walipeleka hayo majina labda ndiyo utaamini wewe Mwanasaccos. Wakati mwingine tumia akili zako vizuri mkuu!!
 
Si wamesema walipokea tarehe 19/11/2020? Au sielewi mimi?
 
Back
Top Bottom