Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Vipi wewe ni unavuta bangi nini? hapa watu wanajadiliana na kila mmoja ana uhuru wa kusema anachotaka. Upumbavu wako wa kuleta comments za kijinga usinielekezee mimi. Hunijui sikujui. Endelea kuvuta bangi na kuwa mtu usoweza kutumia akili yako.
Kwamba hoja ndio bora kuliko za wengine au? Hebu pumzisha hilo gubu lako lisilokuwa na ubongo,tutusa wewe.
 
Huu mchezo mpaka sasa sijuwi nani ndo anaongoza kwa point nyingi.
Nakama ni kweli chadema walipeleka majina itakuwaje?
 
Kwamba hoja ndio bora kuliko za wengine au? Hebu pumzisha hilo gubu lako lisilokuwa na ubongo,tutusa wewe.
Nimeshakugundua kuwa wewe ni mjinga wa kupita kiasi. Hujui ulichoandika mwanzo na hujui unachojadili hapa. Mie siwezi kuwa na mjadala na watu kama wewe, watu ambao kwanza hawana elimu wala ujuzi wa maisha, pili uhodari wao ni kutumia maneno ya kishoga kwa sababu ndio matendo yao. Kwa hiyo usipoteze muda wangu, nenda kalumbane na mashoga wenzako.

Usipoteze muda wako kunijibu kwani sitofungua comment yako, siwezi kupoteza muda wangu muhimu kwa mtu kama wewe mkosa adabu, elimu na mawazo.
 
Wewe kuniita mimi shoga ndio adabu uliyofunzwa kwenu sio🤔? Tusi kwako Ila kwa wenzako unaona ni kawaida eeh?

👉Hata mimi sikuwa na shida ya kuendelea kujibizana na tutusa kama wewe, ndio maana kwenye comment yangu ulioiquote nilikwambia pumzisha hilo fuvu lako lisilokuwa na ubongo.
 
Umesoma vizuri barua ya NEC hapo juu? Au umeanza kuchangia bila kusoma barua ya NEC? Wanasema walipokea barua tarehe 19/11/2020.
NEC wanasema leo kwa barua hiyo kwamba walipokea majina tareh 19/11. Ila huyo huyo Mahera akiongea mbele ya waandishi wa habari siku ile ya tareh 20/11 alisema mpaka kufikia siku ile hawakuwa wamepokea majina toka chadema. Ukweli ni upi?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Chadema Kuna kitu tunafeli na tukiendelea KAMWE hatutakuja kupindua kitu sio leo wala miaka 50 ijayo!!! Badala ya kukaa na kuwafua vizuri hao wabunge wakawakilishe chama vizuri matokeo yake hatutaki chama kiwakilishwe sasa tutajuaje km mnafanya kazi... Siasi za mtandaoni ni km vita vya panzi tu!.. ukizibwa mdomo hakuna mtu ataelewa kitu unazungumza waende tu tutaona wanawakilishaje chama
 
Hii serikali ni ya kihuni tu hamna lolote hapo na anayepinga hilo naye ni muhuni tu.

Kama hii serikali ndio watanzania wanaisubiri eti ichagize maendeleo basi wanasubiri meli stendi. Takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom