Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

AAs
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
Kulala na wanawake 72 na tukio la yesu kufa na kufufuka ni kipi kigumu kuamin?
Dini ni Imani ndio maana vingi unatakiwa kuamin maana vinawezekana
 
naona aliebuni dini hii aliweka neno la mabikra72 kuwapata wafuasi kwakuwa alijua watu wanapenda ngono
Aliewaambia yesu kafa na zambi zenu nyie wote peponi hamjamtilia shaka ila mmeamini
Asa nyie fanyeni zambi dunian maana zambi zenu zishabebwa na SS tuacheni tuoe wanawake 4 dunian kma mazoez
Tukifik huko 72 hawa hapaaa
 
Kwahiyo Binadamu ndio alimuumba Mungu.
Tuishie hapo.

Bila shaka uthibitisho wa Vitabu vya Din hauwez kuukubali.

Je Unataka uthibitisho wa Kisayansi?
Kiranga

Hakuna binadamu. Hilo jina binadamu tu ni upotofu.

Mtu kamuumba Mungu akikini mwake, Mungu ambaye nje ya mawazo hayupo.

Weka hapa uthibitisho wowote unaouona unafaa tuuchambue.

Vitabu vya dini sivipingi kwa sababu ni vitabu vya dini, navipinga kwa sababu havina logic, vina ji contradict, vina uongo.
 
Umekuwa mkweli haikuanza na adamu
Kuliko wale waongo wanasema ilianza na adamu
Sio ndio mnavyodai nyie huko kanisani bila ya aibu ,eti imekuja miaka 600 mbele ..🤣🤣😰
 
Hakuna binadamu. Hilo jina binadamu tu ni upotofu.

Mtu kamuumba Mungu akikini mwake, Mungu ambaye nje ya mawazo hayupo.

Weka hapa uthibitisho wowote unaouona unafaa tuuchambue.

Vitabu vya dini sivipingi kwa sababu ni vitabu vya dini, navipinga kwa sababu havina logic, vina ji contradict, vina uongo.

Nakuelewa.

Niambie sasa mtu Kamuumbaje Mungu akilini kwake?

Mapepo yapo.
Majini au mapepo kuna namna yanaogopa baadhi ya vitu.

Alaf Niambie mtu kamuumbaje Shetan akilini kwake?

Alaf je Una amini kuna Majini?
Kuna mauza uza?
Na Nani kayaumba?
 
Mtu kamuumba Mungu akilini mwake kama anavyoweza kutunga hadithi za wahusika ambao hawapo. Kimsingi Mungu ni muhusika katika hadithi iliyotungwa na watu. Vivyo hivyo Shetani.

Ndiyo maana ukimsoma Mungu vitabuni unamkuta ana tabia za watu. Ana hasira, ana wivu, anapenda sifa na kutukuzwa. Yani Mungu ana tabia mbaya zote za watu. Anaonea vizazi na vizazi kwa makisa ambayo havijayafanya. Ana kiburi. Sasa Mungu gani huyo?

Hao mapepo hujaweza kuthibitisha wapo, na wao ni sehemu ya hadithi hiyo hiyo ya kutungwa na watu tu.

Kikawaida watu hawapendi kushindwa kutoa jibu. Wakiwa hawajui jibu la kweli, wanatunga hadithi ya kuwashikiza tu wasionekane hawajui jibu la kweli.

Kwa hiyo habari za kuwepo Mungu ni chaka tumeliweka wenyewe la kutupia habari zote ambazo hatujazijua, na tukianza kuzijua polepole tunazitoa kwa Mungu.

Ndiyo maana jamii zilizoendelea kielimu na kisayansi zinaondokana na imani ya Mungu na dini.

Imani ya Mungu na dini inakuwa na nguvu sana kwenye nchi ambazo bado zina struggle kufuta ujinga.
 
Sawa najua sasa imani Yako.
Kwamba Ww hautambui kama Mungu na majini na shetani wako.

Basi Nataman Maisha yako yakumbane na uwepo wa Mungu , Majini au mapepo na shetani.

Ili siku Moja ushuhudie tofauti.
Amein Bro.
 
Ukishatamani maisha yangu yakumbane na uwepo wa Mungu huo nao ni ushahidi Mungu hayupo.

Angekuwapo, kila mtu angejua hilo bila mjadala na usingeweza kutamani maisha yangu yakumbane na uwepo wa Mungu.

Kungekuwa hakuna haja ya kutamani hilo.

Hiyo haja inaonesha Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
 
SS tuacheni tuoe wanawake 4 dunian kma mazoez
Tukifik huko 72 hawa hapaaa
soma hii hadith kwa kutulia na uelewe ,, pepo ya allah wewe wa kiume unasubiriwa na viumbe vya kike vipya , na kila mke wa duniani ulie nae akikuhudhi ivyo viumbe huwa vinaomba kwa allah amlaani na amuangamize mke wako wa uku duniani

Imesimuliwa kutoka kwa Mu'adh bin Jabal kwamba:
Mjumbe wa Allaah akasema: "Kila mwanamke anayemkasirisha mumewe, mkewe miongoni mwa houris (wa Peponi) Wanasema salama: 'Usimkasirishe, Allah akuangamize, kwani yeye ni mgeni wa muda mfupi na wewe na hivi karibuni atakuacha na ajiunge nasi."' Vol. 3, Book 9, Hadith 2014

Yani wanawake waislamu kwa Allah ni kama takataka kwake
 
Back
Top Bottom