Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

Kama umesoma hoja yangu na hujaelewa bas nikufafanulie zaid.

●Mm nimesema wanawake 72 ni story tu na hakuna kwenyw Quran
●Quran imeahidi kutakuwa na mvinyo
●Quran imeahidi tutakutana na wanawake. Wenza wetu wa Duniani.
Uko sahihi
 
Mathayo 19 : 29
"Na kila mtu aliyeacha nyumba au ndugu zake au dada zake au baba au mama au watoto wake au mashamba kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia zaidi ya hayo, na atarithi uzima wa milele."
Unajua hawa jamaa wanapenda kukazania jambo halipo ,unajua kama Qur an isingetunzwa kwenye uhalisia basi wangeibadilisha yote..Wanakimbilia kwenye hadith🤣🤣🤣kila siki mpaka nashangaa , nyingine wametunga wao.
 
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
Kwanza hunatofauti nawatu wazamani enzi zamjumbe wa Mungu wa umma huu kupitia kitabu cha Mungu kitakatifu quraan tukufu aliwaambia watu utafika wakati watu watasafiri na vyombo vikubwa angani wapo waliosema kuchanganyikiwa wengine muongo mara haiwezekani .je umewahi kujiuliza kama wewe ingekuwepo wakati huo alafu unaambiwa kitu hicho kwa roho yako ngumu yakutoamini jeungejibu nini.?je watu hawasafiri angani leo? Kilicho kigumu kwako kwa Mungu nawaaminio ni kirahisi sana.
Wanawake waliofanya mema duniani kwa maisha ya baadae watawaongoza hao uliowataja.jitahidi kufata njia sahihi utaelewa
 
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani

Unajua hizi ni hadithi tu, na kwenye kutoa hadithi chocho kinaweza kujiri...Ila nilivyo elewa kwenye hizi simulizi (hadithi)
1. Ukiambiwa peponi kutakuwa na mito ya Asali, haimaanishi itakuwa inatirirka kama maji bali asali itakuwepo kwa kiasi chochote unachohitaji vivyo hivyo kwa mito ya maziwa nk
2. Ukiambiwa kuwa wanaume watakuwa na wanawake 72 maana yake, hakutakuwa na ukomo wa kuoa japo hii kauli ilitolewa mbele ya wanaume ambapo kitu walichokuwa wanakidhamini sana enzi hizo ilikuwa ni kuwa na wake wengi.
 
Kiranga njoo utupe muongozo tafadhali
Mkuu,

Habari za Mungu na dini ni matokeo ya watu kuwayawaya tu kujiongeza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao kwa hadithi za uongo za kujitungia wenyewe.

Huyo Mungu hayupo. Dini ni utamaduni wa watu tu, mara nyingi ni ukoloni wa kiutamaduni.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyethibitisha Mungu yupo na ukitaka uthibitisho Mungu yupo utapewa hadithi za kabobo nyingi sana, lakini hakuna atakayekuthibitishia Mungu yupo.
 
Quran 37:40.
Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake macho kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
Wanawake wenye macho kama yai la mbuni, mayai ya mbuni yalivyo makubwa sasa hao ni wanawake au misukule
 
Mkuu,

Habari za Mungu na dini ni matokeo ya watu kuwayawaya tu kujiongeza kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao kwa hadithi za uongo za kujitungia wenyewe.

Huyo Mungu hayupo. Dini ni utamaduni wa watu tu, mara nyingi ni ukoloni wa kiutamaduni.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyethibitisha Mungu yupo na ukitaka uthibitisho Mungu yupo utapewa hadithi za kabobo nyingi sana, lakini hakuna atakayekuthibitishia Mungu yupo.

Kwahiyo Binadamu ndio alimuumba Mungu.
Tuishie hapo.

Bila shaka uthibitisho wa Vitabu vya Din hauwez kuukubali.

Je Unataka uthibitisho wa Kisayansi?
Kiranga
 
Quran 37:40.
Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake macho kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
Hahaha 🤣 noma sana asee
 
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
Kwahiyo wewe ukisikia waislam wanasema utapata bikira 72 una shangaaa

Ila Yesu aliposema utapata bikira 100 haujashangaa

Nyinyi makafiri mna shida sana

Mathayo 19:27
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?

Mathayo 19:28
Yesu akawaambia, Amin, nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi, katika ulimwengu mpya, atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake, ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili, mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israeli.

Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.

Hilo neno nyumba hapo linawakilisha mke

Sasa wewe badala umshangae Yesu aliyesema mtapata mabikira 100 unamshangaa Muhammad aliyesema aliyesema mtapata mabikira 72
 
Quran 37:40.
Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake macho kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
Ila dini hizi mhhh!
 
Wanakimbilia kwenye hadith🤣🤣🤣kila siki mpaka nashangaa , nyingine wametunga wao.
Wakristo wananguvu kubwa sana Yani wamewatungia Hadith za mtume wenu na wakaweka kwenye vitabu vyenu na mnavyo maikitini mnasoma. aisee !?
 
Wakristo wananguvu kubwa sana Yani wamewatungia Hadith za mtume wenu na wakaweka kwenye vitabu vyenu na mnavyo maikitini mnasoma. aisee !?
Masai tulia ,sasa mbona uislamu unakua kwa kasi ...Hizo hadithi haifanyi kazi na waislamu wanazijua za urongo🤣🤣🤣.

Dini ije miaka 600 baadaye, halafu iwapelekesha si mtakuwa wajinga.
 
Back
Top Bottom