Mkuu vip hili pia:
Ufunuo 7:13–17 (Biblia)
14: Hawa ndio waliotoka katika dhiki kuu, na wamefua mavazi yao, wakayafanya meupe katika damu ya Mwanakondoo.
15:Kwa sababu hiyo wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, wakimwabudu usiku na mchana ndani ya hekalu lake.
16: Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena; wala jua halitawapiga, wala hari yoyote.
17: Kwa kuwa Mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atawaongoza, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima; na Mungu atafuta machozi yote katika macho yao.
Waja wa Mungu waliotakaswa Waliovaa mavazi meupe kwa damu ya Mwanakondoo.
Riziki na neema → Hawatapata njaa, kiu, wala mateso.
Heshima na furaha → Kuwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kuongozwa kwenye uzima wa milele.