Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 491
- 189
Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50
Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa broker FBS ili niitrade ( Forex ) kwenye account yangu ya cent.
Sasa shida iko hapa. Nikitaka kudeposit , skrill inaniambia eti account yangu haina hela yaani 0.00 Then inanipa ujumbe kwamba You deposited by the mastar card which is not surport online payment
Arafu kuna sehem inanipa ujumbe mwingine kwamba Your available balance exçlude is 10.50
Hata nikitaka kuiwidraw inagoma inaniambia sina hela kwenye account. Naombeni muongozo wakuu. Msaada please.