Msaada: Namba zangu zilizopo kwenye google account (google contacts) hazionekani kwenye simu yangu

sundoka

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
2,067
2,752
Habari ya mchana bandugu bapendwa.

Nilikuwa natumia TECNO J8 nikaiacha nikanunua TECNO CA7 (Camon X). Nilivyoanza kutuma Camon X nilitumia email yangu ya gmail na namba zote zilizokuwepo kwenye J8 zikaingia kwenye Camon X.

Sasa hapa juzi kati sijui nimegusa wapi, mara ghafla simu ikabaki na namba za kwenye line tu. Nikajaribu ku sync google contacts zangu lakini haikusaidia!

Nikazama google nikatafuta msaada nikaona jinsi ya kurestore contcts zako kama zilivyokuwa ndani ya 30 days kupitia gmali contacts. Kuingia huko na kurestore nikaambulia contacts 126 tu ambazo hizi nimeziingiza baada ya zile za mwanzo kupotea. Kwa maana hiyo zile za mwanzo hazikurudi.

Nikaingia kwenye settings niaenda sehem ya Google nikaingia kwenye restore contacts. Kwenye upande wa device storage kuna contacts 114, kwenye simdards kuna contacts 226 kilichonishtua kwenye google contacts kuna contacts 922. Ina maana hizi 922 ndo zile ambazo ama baadhi yake ndo hizo 126 zinazoonekana sasa hivi au ndio zile zote ambazo sizioni. Maana nilikuwa na contacts nyingi karibia 1,000. Na hapo hakuna option ya kuzi restore hizo contacts 922 za google bali unaweza kurestore za kwenye sim cards na kwenye device storage

Nimeshindwa kuelewa kama inaonesha google contacts zipo 922 kwa nini niki sign in kwenye google accounts nakuta 126 tu? Nyingine ziko wapi? Zinajificha wapi?

Note: kwenye settings za contacts to display nimeweka "Display All"

Naombeni msaada wapendwa naelewa sote tunajua jinsi inavyouma kupoteza namba za simu maana ndio maisha yenyewe. Asanteni sana waungwana
Screenshot_20181116-143829.jpeg
View attachment 936518
Screenshot_20181116-143314.jpeg
 
mimi kwangu huwa zinafutika kwenye simu na kwenye google account yangu...hii ni mara nyingi inafanya hivi...au zinabaki namba bila majina...yaani hii ni simu ya tatu inanifanyia hivi natumia iTel na Techno
 
Habari ya mchana bandugu bapendwa.

Nilikuwa natumia TECNO J8 nikaiacha nikanunua TECNO CA7 (Camon X). Nilivyoanza kutuma Camon X nilitumia email yangu ya gmail na namba zote zilizokuwepo kwenye J8 zikaingia kwenye Camon X.

Sasa hapa juzi kati sijui nimegusa wapi, mara ghafla simu ikabaki na namba za kwenye line tu. Nikajaribu ku sync google contacts zangu lakini haikusaidia!

Nikazama google nikatafuta msaada nikaona jinsi ya kurestore contcts zako kama zilivyokuwa ndani ya 30 days kupitia gmali contacts. Kuingia huko na kurestore nikaambulia contacts 126 tu ambazo hizi nimeziingiza baada ya zile za mwanzo kupotea. Kwa maana hiyo zile za mwanzo hazikurudi.

Nikaingia kwenye settings niaenda sehem ya Google nikaingia kwenye restore contacts. Kwenye upande wa device storage kuna contacts 114, kwenye simdards kuna contacts 226 kilichonishtua kwenye google contacts kuna contacts 922. Ina maana hizi 922 ndo zile ambazo ama baadhi yake ndo hizo 126 zinazoonekana sasa hivi au ndio zile zote ambazo sizioni. Maana nilikuwa na contacts nyingi karibia 1,000. Na hapo hakuna option ya kuzi restore hizo contacts 922 za google bali unaweza kurestore za kwenye sim cards na kwenye device storage

Nimeshindwa kuelewa kama inaonesha google contacts zipo 922 kwa nini niki sign in kwenye google accounts nakuta 126 tu? Nyingine ziko wapi? Zinajificha wapi?

Note: kwenye settings za contacts to display nimeweka "Display All"

Naombeni msaada wapendwa naelewa sote tunajua jinsi inavyouma kupoteza namba za simu maana ndio maisha yenyewe. Asanteni sana waungwanaView attachment 936517View attachment 936518View attachment 936519
Jaribu kureboot hiyo simu
 
Back
Top Bottom