Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50

Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa broker FBS ili niitrade ( Forex ) kwenye account yangu ya cent.

Sasa shida iko hapa. Nikitaka kudeposit , skrill inaniambia eti account yangu haina hela yaani 0.00 Then inanipa ujumbe kwamba You deposited by the mastar card which is not surport online payment

Arafu kuna sehem inanipa ujumbe mwingine kwamba Your available balance exçlude is 10.50

Hata nikitaka kuiwidraw inagoma inaniambia sina hela kwenye account. Naombeni muongozo wakuu. Msaada please.
 
Ela uliyo deposite skrill kutoka kadi yoyote ya master card huwezi itradia fx, huwezi ichezea kamari na mambo mengine, kasome terms and conditions zao. Visa card ndo the best master card wana masharti kibao.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu Skrill hawaruhusu merchant deposit zifanywe kwao kwa MasterCard kwasababu hizo site tayar zina means kama visa na MasterCard kwa ajil ya withdrawal na deposit
Cha kufanya hapo tafuta mtu unae mwamini kisha mtumie hyo hela kwenda skrill yake..kisha yeye akurudishie tena hapo ndio utaweza deposit hyo pesa kwenda kwa merchants..

Note hyo pesa haitoenda na kurud exactly mana kuna transaction fees..so unaeza kuta umebakiwa na dola 8 ili iende fbs

Usje tumia Mastercard tena kwenda Skrill...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hata kumtumia mtu mwingine wa skrill nayo inagoma inaniambia eti sina hela wakati balance inaonyesha USD 10.50
 
Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50

Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa broker FBS ili niitrade ( Forex ) kwenye account yangu ya cent.

Sasa shida iko hapa. Nikitaka kudeposit , skrill inaniambia eti account yangu haina hela yaani 0.00 Then inanipa ujumbe kwamba You deposited by the mastar card which is not surport online payment

Arafu kuna sehem inanipa ujumbe mwingine kwamba Your available balance exçlude is 10.50

Hata nikitaka kuiwidraw inagoma inaniambia sina hela kwenye account. Naombeni muongozo wakuu. Msaada please.
shida ni master card sio kitu kingine.... Tumia visa mkuu

Sent using mt4 app
 
Mkuu, hata kumtumia mtu mwingine wa skrill nayo inagoma inaniambia eti sina hela wakati balance inaonyesha USD 10.50
Mimi kuna mtu alinitumia dollar 100 kumbe zote ni za master card aisee sita kaa ni sahau...

Nikamtumia mtu jamaa akanirudishia pesa zangu akasema niuzee kwa 1000 kwa dollar moja. sita kaa nisahau....

Pesa za master card ni bure kabisa.

Sent using mt4 app
 
wakuu msaada wenu bado nauhitaji
Mkuu kwanza siku nyingine usi deposit pesa kwa master card..

Pili kama una bank ya kawaida ya visa we tia pesa huko..

Kuna watu wana nunua pesa za master card kwa 1500 kwa dollar.

Kutuma ina tumika labda tu unakosea...

Kama una tuma kwa mtu binafsii itaenda ila makampunii hapo ni big no..

Niliwahii tuma pesa kwenye skrill 4 tofauti ila walivyo nirudishoa mambo yakawa ni yale yale.

Mpaka nikauza kwa hasara ya 1500

Sent using mt4 app
 
Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50

Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa broker FBS ili niitrade ( Forex ) kwenye account yangu ya cent.

Sasa shida iko hapa. Nikitaka kudeposit , skrill inaniambia eti account yangu haina hela yaani 0.00 Then inanipa ujumbe kwamba You deposited by the mastar card which is not surport online payment

Arafu kuna sehem inanipa ujumbe mwingine kwamba Your available balance exçlude is 10.50

Hata nikitaka kuiwidraw inagoma inaniambia sina hela kwenye account. Naombeni muongozo wakuu. Msaada please.

Mkuu unataka kudeposit kiasi gani?

Ukiwa unadeposit hapo lazima uangalie na deposit charges,

Me nimehisi unadeposit kiasi ambacho ukiongeza na charges account inakuwa aina kitu ndio maana wanakukatalia.punguza kiasi cha kudeposit balance hela unayodeposit na charges kisizidi hela iliyokwenye account.
 
Back
Top Bottom