Paypal msaada

mambo ya nyakati

Senior Member
Aug 24, 2022
115
144
Habar wakuu

Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.

Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?

Na je kama inaingia kwenye VISA maana yake naweza kutoa tu mojakwamoja hela kwa mpesa kwa kuitoa kwenye VISA?

Naombeni msaada wenu
Asante.


Screenshot_20230119-120336.jpg
 
Mpaka mwaka jana mwezi wa 6, paypal a/c inayofunguliwa kwa njia ya kawaida ukiwa Tanzania ilikua haikubali kupokea.
 
pay pal kwa tz unaweza lipa tu, kupokea bado. labda kama kuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom