Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
Hiki si kigezo cha kuacha kuwahadili watu wabaya kama ww na Jerry muro,Lisu anahudumiwa vizuri kwani kama kuna watu wabaya wanafanya ubaya zaidi ulitaka waachwe kisa Lisu yupo Hosptal.
Na wewe ni familia ya muro!
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Mimi siungi mkono matapishi ya Jerry lakini Jerry nimesema naye Loyola Alikuwa nyuma yangu tukaja kukutana Lutheran Junior Seminary akiwa nyuma yangu pia. Alimaliza form six Kisarawe Lutheran Junior Seminary mwaka 2003
 
Njaa Kali Sana isee khaa! Hadi ndugu wanakukana lakini kibaya njaa yenu inakula vichwa vyenu lol
 
mkuu simpendi jery muro kwa mambo yake ila mkuu jeri muro kwao ni lyamungo, juu ya kijiweni, unapita kanisa la lyamungo kati, unapita kwa mzee kimati, ukuta wa mzee isaac muro ndugu zao ndo umeshikana na kwa akina jery, napajua tangu anakuwa
acha kutudanganya jombaaa huu ni uongo mtakatifu mnoooo
aisee kwetu ni lyamungo sinde huyu jery mbona hawamfaham hata ndugu zake? nimeuliza bana
 
Mimi siungi mkono matapishi ya Jerry lakini Jerry nimesema naye Loyola Alikuwa nyuma yangu tukaja kukutana Lutheran Junior Seminary akiwa nyuma yangu pia. Alimaliza form six Kisarawe Lutheran Junior Seminary mwaka 2003
Kwa hiyo ukisoma naye ndio unakuwa Muro!
 
Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro.

Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Uliwahi kusikia kuwa elimu ya mwenyekiti wetu ina walakini? Alisoma kihalali na kukamilisha elimu ya sekondari Form Six kwa jina lake. Ana kasoro gani? Au wataka ajifanye Dr. Wakati hajasomea kama wenyeviti wengine wanavyojiita? Hasha, anajitambua. Kusoma tertiary education ni option, unaweza kuendelea au kuacha maadamu una shuguli nyingine inayokupatia maisha. Hivi huna habari? Watanzania mmekuwa malimbukeni hata kwenye hiyo elimu ya juu!!!
 
Mimi siungi mkono matapishi ya Jerry lakini Jerry nimesema naye Loyola Alikuwa nyuma yangu tukaja kukutana Lutheran Junior Seminary akiwa nyuma yangu pia. Alimaliza form six Kisarawe Lutheran Junior Seminary mwaka 2003
Aliwahi kukuambia kabla lake, Ukoo wake? Mtafute Le mutuz mpige bia akilewa mpe mwanafunzi wa miaka 17 amchimbe utapata data zake zote, Siri nyingi za Jerry muro na Bashite zimepatikana toka kwa Le mutuz akilewa bar .
 
Jameni Jerry Muro tunamfahamu toka udogo wake.Kakulia Ubungo Maziwa.
Acheni uongo
 
Uliwahi kusikia kuwa elimu ya mwenyekiti wetu ina walakini? Alisoma kihalali na kukamilisha elimu ya sekondari Form Six kwa jina lake. Ana kasoro gani? Au wataka ajifanye Dr. Wakati hajasomea kama wenyeviti wengine wanavyojiita? Hasha, anajitambua. Kusoma tertiary education ni option, unaweza kuendelea au kuacha maadamu una shuguli nyingine inayokupatia maisha. Hivi huna habari? Watanzania mmekuwa malimbukeni hata kwenye hiyo elimu ya juu!!!
Kwanza wanaojiita wasomi Tz ndiyo huandaa mikataba mibovu iliyoigharimu Nchi hii, mwenye PhD hataki siasa ya majukwaani hataki mikutano, PhD ya kukataa hoja kwenye mikutano ipo Tanzania pekee Duniani. Yupo wapi ben sanane aliyehoji PhD ya Mtukufu?
 
Huko shuleni kuna aliyewahi kujua Asili yake vizuri?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom