Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
Bavicha mnahamisha magoli sasa😀
Huyo atawachafua sana msipokuwa makini aisee!
 
Tatizo la hiki chama hata kama ukiwa mchaga lakini ukitofautiana na mitazamo yao basi huo uchaga unaweza kuvuliwa. Wao wanaamini kuwa wachaga wote ni wenzao kiitikadi. Wala si vinginevyo
 
Wazee wakuokoteza hoja za hapa na pale.Hili nalo mtalishikia bango km vile ni hoja yenye mashiko na itakayo wafanya mshike dola 2020!
Kwan ukimuangalia Jerry anaelekea kuwa mchaga?
Mi nilikuwa na mashaka sana na hilo jona la ukoo,thanks God sasa nimeanza kumuelewa
 
mkuu simpendi jery muro kwa mambo yake ila mkuu jeri muro kwao ni lyamungo, juu ya kijiweni, unapita kanisa la lyamungo kati, unapita kwa mzee kimati, ukuta wa mzee isaac muro ndugu zao ndo umeshikana na kwa akina jery, napajua tangu anakuwa
acha kutudanganya jombaaa huu ni uongo mtakatifu mnoooo
Nyie ndio vihere here tunao watafuta tuwavishe madera.

Kama ukoo umekataa we nani wa kuwasemea had uchochoro?

Utasutwa!!!!![emoji108]
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Mkuy update huu uzi...
 
kumbe nae BASHI..? haahaahaa! hii inch bhana ina vituko sana, yaan kila mtu anajifojia tu vyeti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom