Mbona nyie ccm mnakua kama mmekalia upupu ??? kila kitu cha kuwaumbueni nyie,mnakidandia kwa mbele !! Hii maanayake nini ? Simuache hizo taarifa,ushahidi,viwekwe hadharani,jerry akanushe,mashahidi wajitokeze kushuhudia wakijuacho,ndo mpanue hayo mabakuli yenu yaliyojaza kila aina ya lugha na uovu ? Ikiwa ni uongo sasa mtusute !! Jambo hata muro hajakanusha uv lumumba mshachonga,kuonyesha issue sio ya uongo sasa mnamlinda inzi mwenzenu wa kijani mapema.myeti alikubali,sauti na sura nivyake,mkakanusha kama kwamba hiyo issue ni ya uongo, kumbe ni kama lubuva alivyomtangaza magufuli,kwa ushindi wa kura za wizi !!!! Watanzania wa leo,niwatafiti kuliko mnavyodhani eti ! Kujipendekeza kwa yeyote sasa hivi nchini,ni kumvutia magufuli,awape vyeo ccm, au u dc/u rc kwakuongeza wilaya na mikoa mingine nchini ! Tutawaumbueni tu,alimradi tusipike matukio,yawe ya kweli na yenye ushahidi usiotiliwa mashaka.nyie kama sio dola,Nissan nyeupe,na hayo magobore yenu,mngesha kaa kando siku nyingi sana.Mungu sisi ni wanadamu,tunadhibitiwa na nguvu za utawala,ila Ww Uliye Mungu Mkuu,hudhibitiwi,na awayeyote,nakusihi kwa kuugulia mno Mungu wangu,tuondolee ccm na utawala wake duniani.ni janaba hili kwa waliowengi,tuna koga miili yetu,kwa Maji na miyoyo yetu kwa kuomba ila janaba hili linazidi kutuvagaa ! liteketeze Mungu wetu,tuwe safi tena,Amen