Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
aisee kwetu ni lyamungo sinde huyu jery mbona hawamfaham hata ndugu zake? nimeuliza bana
ndugu zake ni wapi wewe maneno ya kwenye mtandao wanaita haya huyu jamaa ni wa lyamungo bana
 
Kiukweli kwa akili ya Jerry na tabia yake ya kishogga na uswahili alionao wa mipasho,huyo sio mchagga, hakuna wachagga wajinga hivyo,na kama amezaliwa na mama wa kichagga atakuwa mtoto wa nje na baba yake atakuwa na asili ya usukumani na kwingineko na sio kaskazini... Akapimwe DNA...Jerry anakili ndogo sana ipo under avarage.
 
Hivi mmekosa kazi za kufanya mpaka muamfatilie uyo Muro? Mnamuona kabisa ana matatizo ya akili na nyie mnakimbizana nae.
Uko sahihi soon anahitaji matibabu kama hujaanza. Katika maelezo yake amerudia vitu vile vile Mara nyigi sana and not focusing to asked questions plus flight of ideas
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Siku hizi hawahitaji vyeti bali utendaji kama ni vyeti mbona ma pro wengi ndio wanaongoza kwa kuboronga
 
JERI !! Dilaga wiza ?? Uli mola??kumbe JERI ni wa home kabisa!! Aah. Sasa hivi ukuu was mkoa huoo.
 
Hahaha Chadema inaonyesha wana kila data za watanzania walivyozaana. Tungependa watueleze jee Mbowe ni mtoto wa nani?
 
Hata mi nimewahi kusikia sio mchaga,ilo jina ni mambo ya shule,ila aliyeniambia alisema ni mtu wa kusini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom