Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
NENDENI KWENYE HOJA NA SIYO UKOO AU KABILA. KUELEKEA HUKO NI UTHIBITISHO WA UFILISI WA KUFIKIRI
 
Me naona km vile kuendelea kumjadili ndo mnampa umaarufu zaid. ni mtazamo wangu lakin
 
Nadhani ni muda mwafaka kukaa kimya bila kumzungumzia Jerry Muro.Anapata umaarufu kirahisi sana.mimi kuanzia kesho sitasoma thread zote zinazomhusu Huyu Mtu popote pale. Too cheap popularity
Ni vyema watu wajue Ukweli kama hana vyeti kama Boss wake Bashite ijulukane moja kuwa wasio na vyeti ni marafiki na sasa wanatumia Nissan nyeupe kuwaziba midomo wote wanaowajadili.
 
Inabidi ifanyike sensa, kuna waliofoji uchagga wengi sana...
 
Me naona km vile kuendelea kumjadili ndo mnampa umaarufu zaid. ni mtazamo wangu lakin
Kujadiliwa kwa mabaya hakuna umaarufu bali ni kuchafuka zaidi na huenda Albadri ndiyo inafanya kazi vizuri maana ukijadiliwa kwa mabaya jamii hutoa hukumu.
 
Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Pambana na hali yako mkuu,hapa waongeaji wengi hata vyama hawana.Watu wanaopinga udhalimu ni wengi si lazima wawe wanachama wa chama usichokipenda.
 
Albadri imemganda Jerry muro sasa Siri zake zinaanza kuvuja, mwisho wa ubaya na Unyama ni Aibu, Vitendo vyao haramu Mungu hapendi japo wanashinda na kukesha kwa waganga walioletewa na Abdalah kambaya wa CUF bingwa na Dalali Mkuu wa waganga wa kienyeji Tanzania.
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Ukabila hautawaacha wamachame salama.
 
Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Siku hizi Chadema hawaangalia, hata chizi akileta za kuleta wanarara naye mbere|
 
Sasa kwanini unakuja na habari nusu nusu?
 
Chadema wanacheza ngoma ya mwaandishi wa kiuchunguzi tusije kukimbiana humu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom