Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Hizo...tabia zake...alianzia wapi ??Mimi siungi mkono matapishi ya Jerry lakini Jerry nimesema naye Loyola Alikuwa nyuma yangu tukaja kukutana Lutheran Junior Seminary akiwa nyuma yangu pia. Alimaliza form six Kisarawe Lutheran Junior Seminary mwaka 2003