Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cheap politics is killing us Tanzanian,so kama wamemkana shida nini?acheni siasa za kipuuzi kama hizi,Leo mnasema wamemkana uchagani,upo siku kama kawaida yenu mtasema sio mtanzania,,Siasa rahisi na za kipuuzi lazima tuzikatae.......Leta hoja za maana tutakuelewa ila sio ubaguzi,
I hate the devil inside you.
 
Yani ni kujifedhehesha hasa kuhangaika na huyu Jenny!

Wafanye mambo mengine ya msingi.
 
hawa nao ni mafundi wa matukio ya kuunda, halafu sasa huwa hawana evidence,yale yale ya bashite. Haya majitu sijui hata upinzani yalijifunzia wapi ni ma zero hatari kazi yao ni kumu atack a person, instead ya kujenga hoja maana hata Mh. Mwigulu Nchemba yalifanya hivi hivi yakala za uso..yakakaa kimyaa.Leo Jerry Muro amewapa za uso mbayaa sana, uso wotee nundu maana ngumi alizomshushia former mwizi rasta ni za ukweli ..hovyoooo
 
Hali hii ya vyeti feki ukoo feki ndani ya CCM imekuwa Sugu
 
hawa nao ni mafundi wa matukio ya kuunda, halafu sasa huwa hawana evidence,yale yale ya bashite. Haya majitu sijui hata upinzani yalijifunzia wapi ni ma zero hatari kazi yao ni kumu atack a person, instead ya kujenga hoja maana hata Mh. Mwigulu Nchemba yalifanya hivi hivi yakala za uso..yakakaa kimyaa.Leo Jerry Muro amewapa za uso mbayaa sana, uso wotee nundu maana ngumi alizomshushia former mwizi rasta ni za ukweli ..hovyoooo
kwa hii ya Jerry muro ni tukio la kuunda? Avidence gani unataka? Yale yale ya Bashite yapi? Kwani Bashite kaonyesha vyeti? Ukiwa mwizi na Rafiki yako anakuwa mwizi, Bashite hana vyeti na sasa Jerry muro mzee wa Nissan nyeupe anatumia jina bandia wanafanana, atack person ipi? Jerry muro alikwenda Dodoma na Nissan nyeupe kumwa-tack Lisu na bunduki ili sio person atack?
 
Cheap politics is killing us Tanzanian,so kama wamemkana shida nini?acheni siasa za kipuuzi kama hizi,Leo mnasema wamemkana uchagani,upo siku kama kawaida yenu mtasema sio mtanzania,,Siasa rahisi na za kipuuzi lazima tuzikatae.......Leta hoja za maana tutakuelewa ila sio ubaguzi,
I hate the devil inside you.
Hoja za maana zipi? Cheap politics zipi? Kwani hutaki watu waseme Uozo wa Boss wako Jerry kwa visingizio visivyojulikana na visivyo na mashiko, acheni huyo Jerry avune alichopanda msitake kuja na utetezi wa kijinga jinga, Tambua kuwa Jerry muro anatumika na CCM lazima adhibitiwe mapema na watanzania wamjue vizuri ili iwe fundisho kwa wenzake.
 
Hata mi nimewahi kusikia sio mchaga,ilo jina ni mambo ya shule,ila aliyeniambia alisema ni mtu wa kusini
Le mutuz akishalewa na michepuko hutoa siri zote ndiyo maana Bashite na Jerry muro hawana siri ambazo hazipo wazi, akilewa husema kila kitu cha siri.
 
Kumbe huyu mchumia tumbo ni Ngosha!? Tangu nimfahamu, nilidhani ni mchaga wa kule Machame.
Ni kigagula mkubwa leo tokea aanze kuandikwa kaenda kwa Abdalah kambaya wa CUF kuchukua waganga wa kienyeji akiamini watazuia wana JF wasimchambue kama karanga, Jerry muro hana hamu na sasa kaanza kujutia ujinga wake
 
Yani ni kujifedhehesha hasa kuhangaika na huyu Jenny!

Wafanye mambo mengine ya msingi.
Jerry muro lazima anyooshwe mapema, hapaswi kuachwa hivi hivi kwani pesa wanayolipwa na CCM kufanya vurugu ni pesa za Umma ni pesa za walipa kodi, lazima anyoshwe mpaka anyooke ajutie unyama wake na ujinga wake
 
Watu wa kule ni...watu wenye msimamo...na sio wa kujipendekeza na kulamba watu miguuu bora awe..masikini......
Tabia na mieenendo...yale haiendani....sintashangaaa kama sio ndugu yao
 
Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro.

Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Mwenyekiti wa chadema hajawahi kudanganya elimu ...inatakiwa...mtu hata kama.ni...la saba aseme tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom