Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Duuuh kiongozi uko vizur
Umegusa pale pale, mle mle...Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro. Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Subiri mambo yawekwe hadharani halafu tutalinganisha na maelezo yako .mkuu simpendi jery muro kwa mambo yake ila mkuu jeri muro kwao ni lyamungo, juu ya kijiweni, unapita kanisa la lyamungo kati, unapita kwa mzee kimati, ukuta wa mzee isaac muro ndugu zao ndo umeshikana na kwa akina jery, napajua tangu anakuwa
acha kutudanganya jombaaa huu ni uongo mtakatifu mnoooo
Kwa hiyo ni sahihi kwa chama kikuu cha UPINZANI kubishana na mtu ambaye si hata mjumbe wa nyumba 10?!Safi sana , dawa ya mnafiki ni kumwanika juani .
Ila ninyi Kupambana na Lissu kwa Risasi badala ya hoja chanya ni sawa eh!Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Kipengele kimoja tu cha shahidi ndio tunafanyia kazi,Kwahiyo kuwa msukuma imekuwa ni hoja?
Kwani inakuhusuje?Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Mnafiki hafai hata kupewa maji ya kunywa kwahiyo tuliza muwasho wakoHaya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Hii naomba usisahau kuipeleka kwa Mange Kimambi Instagram. Atamvua boxer kabisaaHabari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Mkuu umenichekesha sana aseee!!Mmeanza inchi hii jamani
Mbona umepaniki? Mwambie huyo Jerry atulie au kama wewe ndiye Jerry tulia acha kujipendekeza kwa serikali!Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Kijiweni kwa mama Dimwita hapo kwa Mose au Ngazini.mkuu simpendi jery muro kwa mambo yake ila mkuu jeri muro kwao ni lyamungo, juu ya kijiweni, unapita kanisa la lyamungo kati, unapita kwa mzee kimati, ukuta wa mzee isaac muro ndugu zao ndo umeshikana na kwa akina jery, napajua tangu anakuwa
acha kutudanganya jombaaa huu ni uongo mtakatifu mnoooo
Naona sasa dawa yake inaanza kuingia penyewe!Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Huo ni UJUHA!Mbona umepaniki? Mwambie huyo Jerry atulie au kama wewe ndiye Jerry tulia acha kujipendekeza kwa serikali!
Ndio maana hajakumbukwa hata ubalozi wa nyumba kumiHabari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Ni hoja! Sana tu ! Usukuma ni hoja kwa sada ktk serikali hii. Yaani ni ulimbukeni plus ushmba kwa kwenda mbele. Mfikshie salaam Kibajaji maana yeye alisikika kabisaa kwa sauti take akiupigia debe usukuma wakati wa kampeniKwahiyo kuwa msukuma imekuwa ni hoja?